TAZARA Kwa kushirikiana Na Kampuni Ya Reli Zambia zimetiliana Saini Na Kampuni Ya Nishati Ya Delta Zambia Kusafirisha Mafuta Kutoa Tanzania

TataMadiba

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
9,866
5,742
Shirika la Reli kati ya Tanzania na Zambia (TAZARA) kwa kushirikiana na Kampuni ya Reli ya Zambia (ZRL) zimetiliana saini na Kampuni ya Nishati ya Delta ya Zambia kusafirisha kati ya Lita milioni tano hadi sita za Mafuta kutoka Tanzania kwenda Zambia.

1566458376264.png
 
Wanazengo huwa wanasema, potential resources seldom determine the opportunity
 
Back
Top Bottom