Usijali mkuu kawaida ya vijana hawana jema.Nyumbu bhana, haya hicho ni kivuko cha waenda miguu.
Shangilia sasa
Nimependa uzarendo wako, achana nao hawakosagi sababu.Hatuko nchi za watu, bali tuko Bongo kwetu, hivyo kwetu ni flyover!
haters watakufa kihoro mwaka huu kwa chuki!
Lugha ya kitumwa tu ndiyo inakupa shida Flyover ndiyo kivuko mkuu!!HICHO NI KIVUKO SIO flyover acha upotoshaji wa kibongo
Hamia huko mkuu!! Sisi tunaita flyoverhiyo ni overhead bridge na sio flyover!
Flyover gani unatembea 30 seconds imeisha?tembea nchi za watu ujionee tofauti kaka
Hawaelewi kiingereza watafsirie mkuu. Alafu wanadhihirisha ujinga wao pasipo kujuaUnaelewa maana ya neno la kiingereza ,,flyover" ?
Haya bishana pia na wikipedia
Flyover - Wikipedia
Acheni kufanya maisha yawe magumu kuliko uhalisia, neno lenyewe linajieleza labda kama hauelewi maana ya neno ,,flyover"
Alafu unadhihirisha ujinga wako pasipo kujuaIv nyie watu wa lumumba nani aliewaloga..kwa hyo wewe ulitaka tukubali hyo ni flyover?
Kichwa kubwa akili nukta!
hiyo ni overhead bridge na sio flyover!
Flyover gani unatembea 30 seconds imeisha?tembea nchi za watu ujionee tofauti kaka
Njia rahisi hao ni kuwaita kwenye mdaharo wa WAZI kujadili hali ya kiuchumi na demokrasia ili "waumbuke". Unasemaje mpambanaji?I can't wait for Zitto, Fatma Karume, Lissu, Maria Sarungi waje kukosoa....yaani tuna wana harakati uchwara nchii hii sijapata kuona? Wote hawa wanangozwa na kiongozi wao Mange Kimambi mtu wanayemshinda kielimu ila wanamuamini kwa kila kitu.
Hapa nadhani lugha gongana, English na Swahili, nadhani flyover tuiite "kivuko cha juu" si unajua lugha yetu ilivyo na uhaba wa maneno!HICHO NI KIVUKO SIO flyover acha upotoshaji wa kibongo
Na wasipokosoa utasemaje?I can't wait for Zitto, Fatma Karume, Lissu, Maria Sarungi waje kukosoa....yaani tuna wana harakati uchwara nchii hii sijapata kuona? Wote hawa wanangozwa na kiongozi wao Mange Kimambi mtu wanayemshinda kielimu ila wanamuamini kwa kila kitu.
AHivi ni daraja( bridge) au fly over?
Nalisubiri kwa hamu sana!Tunazindua lini ili tuwape za uso haters?![]()
![]()
![]()
![]()