Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,742
- 7,431
Wapi? Burundi au Rwandahiyo ni overhead bridge na sio flyover!
Flyover gani unatembea 30 seconds imeisha?tembea nchi za watu ujionee tofauti kaka
Nchi zetu Africa za ajabu sana
Wapi? Burundi au Rwandahiyo ni overhead bridge na sio flyover!
Flyover gani unatembea 30 seconds imeisha?tembea nchi za watu ujionee tofauti kaka
Asili ya neno "Fly over " ni wapi vile?Hatuko nchi za watu, bali tuko Bongo kwetu, hivyo kwetu ni flyover!
Hapana, ndivyo tulivyoamua kuiita flyover, na hata Muzungu mwenyewe ataita hivyo kama tukimwambia hiyo inaitwa ni TAZARA flyover!
mbaya zaidi hata CCM tawi hawakujui!! Halafu unasema ndivyo tulivyoamua..... Know one knows you buddy....TWAWEZA njooni hukuuu....Kukusahihisha siyo ,,Watanzania wakimchukia" mtu bali sema chadema wakimchukia mtu, kwa maana Watanzania wengi hatumchukii mtu yoyote, mambo ya chuki ni chadema!
Kuua watu, kudhibiti kila anamkosoa, kuteua na kutenguaKafanya aliyosema atafanya kwenye kampeni zake
Hata ukisema ni kichochoro haitabadilisha kitu.hiyo ni overhead bridge na sio flyover!
Flyover gani unatembea 30 seconds imeisha?tembea nchi za watu ujionee tofauti kaka
Mkuu naamini una weledi mkubwa tu sio km wa mdogo wangu wa darasa la pili, so kupangia mtu majukum na kumtengua ni haki yake ya kikatiba, hata kwenye mpira kuna sub, hayo mengine ni tetesi tu mi siwez kujibu maana siko wizara wala chama cha siasaKuua watu, kudhibiti kila anamkosoa, kuteua na kutengua
hahahaha only in africahiyo ni overhead bridge na sio flyover!
Flyover gani unatembea 30 seconds imeisha?tembea nchi za watu ujionee tofauti kaka
kivuko cha miguuHatuko nchi za watu, bali tuko Bongo kwetu, hivyo kwetu ni flyover!
Masikhara muache nyinyi, go and check the meaning of fly overIla tukiacha masiala,lile ni daraja mkuu .
Sawa nmeenda na nmeona, wenda nmezoea zile za kilomita ..Masikhara muache nyinyi, go and check the meaning of fly over
Nyumbu bhana, haya hicho ni kivuko cha waenda miguu.Sawa nmeenda na nmeona, wenda nmezoea zile za kilomita ..
Hiii yakwetu kidogo ingekua kivuko cha wenda kwa miguuu.
Nyumbu bhana, haya hicho ni kivuko cha waenda miguu.Sawa nmeenda na nmeona, wenda nmezoea zile za kilomita ..
Hiii yakwetu kidogo ingekua kivuko cha wenda kwa miguuu.
Kumbe, asante. Ila maelezo yako yale yoote kwa kidhungu sijakuelewaFlyover ni barabara inayopita juu ya barabara nyingine au juu ya reli ili kupunguza msongamano. Kwa kifupi tu. Bridge ni daraja