TAZARA "flyover" yetu imekamilika!

Hiyo ni flyover tukubali tukatae, maana km ni kama vile tunakariri flyover mpaka iwe km zile za china au south africa, zile ni interchanges, ila ya tazara ni flyover tubishe tuu ila ni flyover, sasa tunabisha wakati ipo wazi
Roho za kwanini ndo zinazosumbua baadhi ya watu. Waswahili watu wa ajabu sana.
 
Huku kuchukiachukia kubeza vitu vya manufaa ndo tutasema ni democrasia, acha tujenge tuu maana "hata nchi inayoshinda vita bado kuna akina mama watalia ufiwa" so sio wote tutakaopenda maendeleo ila tutayatumia na vizazi vyetu vitatumia,
 
Unapoteza muda na hao wajuaji? Hawa wamko huku uswahilini kwetu kila ufanyacho wanatoa kasoro ili mradi tu atoe uhasi ndani yake.
 
Tuko Bongo, hivyo kwetu ni flyover, next hater ????
kwahiyo kama tuko bongo basi " ndio tunapata ruksa ya kubadilisha maana ya kitu au jambo ""... Yaani kila kitu kwenu mnaingiza siasa ...hiko ni kivuko full stop
 
kwahiyo kama tuko bongo basi " ndio tunapata ruksa ya kubadilisha maana ya kitu au jambo ""... Yaani kila kitu kwenu mnaingiza siasa ...hiko ni kivuko full stop

Kwani flyover sio kivuko?!
 
Ndiyo, kila mtu ana haki ya kuita anavyotaka!
kwahiyo Mwenye kumuita"" SIMBA kwa jina lingine tofauti na jina lake kwamfano amuite simba swala "" badala ya kumuita simba " atakuwa yupo sahihi ""..?
 
kwahiyo kama tuko bongo basi " ndio tunapata ruksa ya kubadilisha maana ya kitu au jambo ""... Yaani kila kitu kwenu mnaingiza siasa ...hiko ni kivuko full stop
Ujuaji mwingine unaishia kuwa kituko. Kwahio wewe kwako flyover lazima ziwe kama unazoona kwenye movie? Maanake naona watu wamekazania za majuu,kwani mmeambiwa huko majuu hakuna flyover kama hio ya tazara? Yaani majuu flyovet zooote ni ndefu km kadhaa na zimeingiliana sana.....
 
kiswahili tafadhari
 
Fly over ni neno la kiingereza. Tafsiri kwanza hilo neno kwa kiswahili na mie nitakupa maana yake kwa kiswahili.

sijui flyover kwa tafsiri ya kiswahili, ndyo maana nimetaka unitafsirie hyo coment yako nijue nini umemaanisha.
 
sijui flyover kwa tafsiri ya kiswahili, ndyo maana nimetaka unitafsirie hyo coment yako nijue nini umemaanisha.

Flyover ni barabara inayopita juu ya barabara nyingine au juu ya reli ili kupunguza msongamano. Kwa kifupi tu. Bridge ni daraja
 
Mzungu...mwenye lugha yake, aliyetengeneza google tunayoitumia kutafuta maarifa ya huko "mbele" anaiita ile flyover, hata ukitumia google ya mzungu kusachi flover ni nini itakuletea hata picha zilizopigwa na zinafanana na picha ya ile iliyojengwa tazara, so sisi huku wajuaji sana tulioelimika kwa lugha na maarifa ya mzungu tunapinga ile hapana sio flyover, haibadilishi kitu zaidi ya kuonekana chuki binafsi tu, ile ni flyover, kwa kiswahili maana nyepesi ni tambuko, kivuko, au vyovyote vile ila mwenye lugha yake anaiita flyover
 
kwahiyo kama tuko bongo basi " ndio tunapata ruksa ya kubadilisha maana ya kitu au jambo ""... Yaani kila kitu kwenu mnaingiza siasa ...hiko ni kivuko full stop

Kabadilishe basi na wikipedia maana ya flyover, kwa maana wameielezea kama tulivyoielezea yetu, sasa kama na wao hawajui maana ya flyover ulipaswa uwarekebishe huko kwanza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…