secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 15,527
- 29,117
Nitumieni video yake mtu mzima secretarybird nisafidhe macho.Navosikia wanasema ni keivoo
Mbupu ya mtoto wa Jamaal yetu imepotea.Ngoja hiyo elimu nimpe BICHWA KOMWE - ili mtoto wa kiume tutakayemzaa asikose mambupu na kuanza kuwa na sauti nyororo za kumvutia hadi nyoka.
Mkuu maana yake nikwamba ukitaka 8 iwe sifuri inakua, kama ni kuku ukitaka wawe hakuna unawala wote ndio unabaki na Niko sifuri.Tazameni Uongo Wa Mathematics
Eti: 8 x 0 = 0
Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?π€
Ila **** akitengewa anaipepeta hakuna shida.Mbupu ya mtoto wa Jamaal yetu imepotea.
Muulize BICHWA KOMWE - hakosi video za aina hiyo πNitumieni video yake mtu mzima secretarybird nisafidhe macho.
Huyo dogo atakuwa kafundishwa na yule TikToker anayejidai kuwa ni mtoto mdogo mwenye pesa nyingi.
Hapana hao 8 si unao ?8 Γ 0 =0
Why?
0Γ0Γ0Γ0Γ0Γ0Γ0Γ0=0
πππππ
Hesabu zimegawanyika sehemu mbili kuna ingine inaitwa logical mathematics inategemea wewe unaongea kwa pande ipi ungefafanuaTazameni Uongo Wa Mathematics
Eti: 8 x 0 = 0
Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?π€
Tazameni Uongo Wa Mathematics
Eti: 8 x 0 = 0
Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?
Inafikirisha.una hoja usikilizwe,usipojibiwa na wanaojiita vichwa basi tumedanganywa vya kutosha kuhusu hili iltakiwa 0 times 8 ndo iwe 0 sio 8 times 0
kama hio 8 ni kuku hio zero ni nini?Tazameni Uongo Wa Mathematics
Eti: 8 x 0 = 0
Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?π€
Hallo, BICHWA KOMWE -Muulize BICHWA KOMWE - hakosi video za aina hiyo π
Hakosi huyo bii kizee wako bichwa komwe πHallo, BICHWA KOMWE -
Zilitumbukia shimoniTazameni Uongo Wa Mathematics
Eti: 8 x 0 = 0
Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?π€
daaah hii ndo jf ninayoijua mimi!una hoja usikilizwe,usipojibiwa na wanaojiita vichwa basi tumedanganywa vya kutosha kuhusu hili iltakiwa 0 times 8 ndo iwe 0 sio 8 times 0