one by one
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 5,835
- 9,330
[emoji23] [emoji23] Data inakula ikiwa na download tu kutizama haili data sasa jamaa nadhani kutokuelewa tu lakini humu ataelewa. Kama video ni 3MB iki download mpaka mwisho ndio inakula data ikimaliza 3MB ndio data yenyewe.Kwa hiyo video inaingiaje kwenye simu bila data, kwa miujiza?
Data ishaliwa hapo we ndo unazima.
Umeona eeeh, huyu jamaa nime mshusha nyota aiseee, anajiita mtu wa tech, ila hamna lolote, hiyo video inakua buffered ko hata kama data ikikata ita play kwa muda mpaka ikifika pale ilipo ishia ku buffer...Upumbavu mtu. Ww unadhani unawwza down stream video YouTube bila bañdle?? Kinacho fanyika hapo iyo app ina capability kubwa ya kufanya buffer store
Procesa ya kwanza kwenye hiyo screenshot ni download, maanake video inakuwa downloaded laa kutumia data hivyo unaweza kuireplay mara nyingi bila lu buffer.Uongo Upo Wapi?
Cbeki Hii [emoji116] [emoji116]
Pamoja MkuuSafi sana.
Kweli MkuuSawa kabisa mkuu...wadau wengi hawajawahi kuufanya huu mchezo ndio maana wanakuwa wabishi.....wacha sie wengine tuendelee kuinjoi
Yah, ila kidogoBado data unatumia lakini
Umetumia app gani kuchorea mshale ulionyooka ivyo mkuu, sitaki scatch lakini
Siwezi Kuwa Sahihi kwa kila jambo, Mi binadam sijakamilikaumechemka
Sawa MkuuThanks it works but Kwa mdamchache Sana ma'am n better kutumia data maan dkk 2 washa data kdgo zima data
Wapi Nimejiita Mtu Wa Tech?Umeona eeeh, huyu jamaa nime mshusha nyota aiseee, anajiita mtu wa tech, ila hamna lolote, hiyo video inakua buffered ko hata kama data ikikata ita play kwa muda mpaka ikifika pale ilipo ishia ku buffer...
Poor you