kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
Wakati watanzania tupo busy kulumbana kwa siasa za CCM vs CHADEMA,wakati wakenya wapo busy kubaguana kikabila kwa siasa za jubelee vs cord nk.wenzetu wapo mbali sana na kadhia za dunia hii.
Mda mchache uliopita nilikuwa ktk mtandao wa twitter, ghafla nikakumbana na tweets toka kwenye handle ya mwanadada mwanaanga Samantha Cristoforetti ambaye tangu November 23, 2014,alitoweka duniani!! (ndio alitoweka dunia).
Aliondoka duniani kuelekea anga za mbali ktk satellite inayofahamika kama ISS (International Space Station).
Yeye na timu ya wanaanga wanaume wawili,tangu november mwaka jana wapo huko angani wakiizunguka dunia huku wakifanya tafiti na majiribio mbalibali ya kisayansi ktk field za biology, human biology, physics, astronomy, meteorology nk.
Lengo hasa la thread hii ni kukuwekea baadhi ya tweets zake binafsi anazo tweet kila mara toka anga za mbali ili iwe kama hamasa kwa wadogo zetu wanaosoma masomo ya sayansi ktk vyuo yetu hapa EA.
Lakini pia wajikite kwenye masomo na waachane na siasa za uchadema na uccm ili mwisho wa siku waje kuwa wanaanga mashuhuri kama Samantha Cristoforetti.
CC MK254 hbuyosh Apologise lady Kongosho miss chagga Bulldog Monstgala et al

Last edited by a moderator: