Tazama tofauti kati yao na sisi

Tazama tofauti kati yao na sisi

Aisee, kweli wapo mbali. Ile ndege iliyopotea na abiria 360 huenda wako huko wanafanya utafiti, Mungu mkubwa ndugu na jamaa waendelee kusubiri watarudi ulimwengu mkubwa huu.
 
Mzungu alisoma na kuelewa, Mwaflika alisoma

Na kukariri.

UKIKOHOA WIKI MBILI ZAIDI NI DALILI ZA AWALI ZA

KIFUA KIKUU NENDA KAPIME

STOP TB
 
Africa mradi kuna kucha ,giza linaingia haina shida,somalia miaka 20 na zaidi wanapigana ujawahi sikia imevumbuliwa hata bunduki ya kisomali angalau wanalala nazo na kuamka nazo kuliko mahala kwingineko afrika.mliman pale inatoa wahandisi lakini upepo mkali ukija wanafunzi wanashuka katika yale majengo na kukaa chini hawana namna wa kuyajenga yale majengo yanaotishia usalama wao.Tupo tupo usipobeba bango kwenye chumba cha upasuaji ukaingia nalo .linaonyesha ufanyiwe oparesheni gani unaweza katwa shingo baada ya mguu,embu tuache ku ji compare na hao watu tuendeleni tu na siasa zetu za maji taka.
 
hahaha hiyo ya wasomali kwa kweli hata mimi imenifanya nitafakari mara mbili.miaka 20 wanalala na bunduki wana amka na bunduki,lakini wameshindwa ku clone teknoilojia ya bunduki ili nao wabuni bunduki yao.sure,this is AJAB and only in africa.
 
yani huko juu kuna network nzuri hivyo wakati nyumbani kwangu inakatakata.... hawa tigo wazushi sana

hili hata mimi linanichanganya,labda net ya angani ipo smooth kwa kuwa hakuna barriers ya kuzuia masafa,mfano milima,mabonde na majengo marefu kama duniani.
 
Hayo mambo huko kwenyew yanafanywa kisiasa na kibur cha uchumi na wanao Fanya hayo ni superpowers country kama USA na RUSSIA na CHINA, na ukiangalia behind the scene kuna political agenda znazo support hko ktu na cdhan kwamba Tz hata mngeibuka ghafla kwamba mtaruhusiwa mataifa mengi yanataman kufanya ivo Ila kuna vikwazo toka superpowers countries..... Tz wala msisingizie siasa washaurini wanasiasa wenu hasa CCM iliyoko madarakan itambue kuwa elimu tunayopewa wanafunzi uko madarasani sio practical oriented so hata mfanyeje bila kutegua huo mtego tutaishia kutaman mambo ya wenzetu
 
lakini pia nahisi hata hisi siasa zetu zinatuharibu.
kama mwanafunzi wa chuo anayechukua masomo ya sayansi,role mode wake ni mwanasiasa wa chama tawala kama lusinde.unategemea nini hapo?.

Mfumo wa elimu yetu sio rafiki kiasi chakumuandaa mtu kutumia kipaji na kuweza kuvumbua kitu, tunafundishwa kukariri kisha tunatukiwa vyeti, sera ya elimu ianatawaliwa/simamiwa/kutungwa na wanasiasa. ni kazi sana hatuwezi kufika huko hata kidogo tuendelee kuota tu.
 
Tanzania tupo zetu buys kwenye siasa na pichu hamna kingine kinachotuumiza kichwa! na tulivyo badilisha mitaala mashuleni kiswahili ndiyo lugha ya kufundishia tusahau kufika huko!
 
Wengine wapo bize kupost picha za mat.ako.

Wengine wapo busy kujiunga na kutukanana kwenye team wema, team allykiba
 
Tuanze kujifunza kwanza namna ya kutumia ardhi tunayoikangaga kuzalilsha chakula cha kutosha na kuondokana na umaskini uliotopea, halafu baada ya hapo tutaweza kufikiri kuhusu vitu vilivyopo angani
 
Hayo mambo huko kwenyew yanafanywa kisiasa na kibur cha uchumi na wanao Fanya hayo ni superpowers country kama USA na RUSSIA na CHINA, na ukiangalia behind the scene kuna political agenda znazo support hko ktu na cdhan kwamba Tz hata mngeibuka ghafla kwamba mtaruhusiwa mataifa mengi yanataman kufanya ivo Ila kuna vikwazo toka superpowers countries..... Tz wala msisingizie siasa washaurini wanasiasa wenu hasa CCM iliyoko madarakan itambue kuwa elimu tunayopewa wanafunzi uko madarasani sio practical oriented so hata mfanyeje bila kutegua huo mtego tutaishia kutaman mambo ya wenzetu
kwel kabxa mkuu we ndo umenena ukwel
 
Huyo hana jipya tena akafie mbali, yaani kwenye mapicha hayo yote hajaona chochote cha kuonyesha kuhusu Kenya, amepiga Uganda na kupita Kenya bila picha. Yaani angepiga angalau moja ndio JF haingekalika kwa mijisifa, ningewapumulia watani.

Haya swahiba kadoda11 nimekusoma mwanzo mwisho, inauma tena sana aisei, Afrika aliyeturoga hakuwa na huruma. Hatuna lolote jipya, malumbano tu ndio zetu. kila akiibuka mtafiti tunampiga chini.
 
Last edited by a moderator:
Mkichanganya Kiingereza tumieni vema basi! "Job seekers...sio job searchers. Job creators...siyo job creator (singular).
 
Huyo hana jipya tena akafie mbali, yaani kwenye mapicha hayo yote hajaona chochote cha kuonyesha kuhusu Kenya, amepiga Uganda na kupita Kenya bila picha. Yaani angepiga angalau moja ndio JF haingekalika kwa mijisifa, ningewapumulia watani.

Haya swahiba kadoda11 nimekusoma mwanzo mwisho, inauma tena sana aisei, Afrika aliyeturoga hakuwa na huruma. Hatuna lolote jipya, malumbano tu ndio zetu. kila akiibuka mtafiti tunampiga chini.

aligundua kwamba angepiga picha za kenya au tanzania,lazima tungerumbana.ndio maana akatupotezea akapiga mozambique,uganda na ethiopia.
 
Hayo mambo huko kwenyew yanafanywa kisiasa na kibur cha uchumi na wanao Fanya hayo ni superpowers country kama USA na RUSSIA na CHINA, na ukiangalia behind the scene kuna political agenda znazo support hko ktu na cdhan kwamba Tz hata mngeibuka ghafla kwamba mtaruhusiwa mataifa mengi yanataman kufanya ivo Ila kuna vikwazo toka superpowers countries..... Tz wala msisingizie siasa washaurini wanasiasa wenu hasa CCM iliyoko madarakan itambue kuwa elimu tunayopewa wanafunzi uko madarasani sio practical oriented so hata mfanyeje bila kutegua huo mtego tutaishia kutaman mambo ya wenzetu

sio lazima nchi ya dunia ya tatu kama tz tuwe na vyombo vyetu angani,la hasha ila kwa mfumo bora wa kielimu,tungeweza kuandaa vijana wetu wanao chukua masomo ya sayansi,kuwa wanaanga wazuri na baadaye waajiriwe ktk mashirika makubwa kama NASA,ESA au FKA.
 
Duh!!!! hadi kizunguzungu as if me ndo nipo huko angani, LOL!!!

ungetazama filamu inaitwa gravity iliyotoka mwaka 2013,nina hakika ungepata kizunguzungu zaidi.:nod:
 
lakini pia nahisi hata hisi siasa zetu zinatuharibu.
kama mwanafunzi wa chuo anayechukua masomo ya sayansi,role mode wake ni mwanasiasa wa chama tawala kama lusinde.unategemea nini hapo?.

haha! umenivunja mbavu, hivi kwel lusinde alisoma?
 
Back
Top Bottom