Tazama ramani mpya ya Africa..

Tazama ramani mpya ya Africa..

sexologist

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
2,276
Reaction score
976
Hii ramani ina'reflect kabisa uafrika wetu.... Afrika sura ya nchi na tawala..

. 11001756_1560225590928391_1598190696793273912_n.jpg

Aione pia Shy land, KikulachoChako, miss chagga, Honey Faith, Zinduna, utafiti, william j. malecela
 
Last edited by a moderator:
HAHAHAHAHA Tamalisa pitia huku uje ujione tunavyofanya kazi wanaume wa mkoani.
 
Last edited by a moderator:
Katika ramani hiyo mimi nimechagua kuishi kanda ya kati kusini...mpakani mwa milima miwili kwenye uoto wa asili huku kukiwa na kisima kwa ajili ya malisho ya mfugo wangu........
 
Katika ramani hiyo mimi nimechagua kuishi kanda ya kati kusini...mpakani mwa milima miwili kwenye uoto wa asili huku kukiwa na kisima kwa ajili ya malisho ya mfugo wangu........
Khaaa.... Mkuu una uchaguzi muruaaa kabisa... Na mi nimechagua hapo hapo... Shy land anataka kuishi kanda ya kusini ya ramani... sijui atapata manufaa gani..
 
Last edited by a moderator:
Nyie mwa copy tu. Wenzenu walitumia kwenye battle za Twitter, Kenya vs Nigeria
 
nchi gani ipo eneo la kupumulia ambako wakati wote harufu mbaya inanukia hapo? naona kama itakuwa ghana na nigeria na kushuka magharibi ya afrika hadi angola. ila tz tupo upande wa mbele kula anakofunga viatu.harufu hadi ije itukute hadi uzunguke.


Mkuu na we umefikirisha ubongo kweli... aya bana...
 
Mkuu na we umefikirisha ubongo kweli... aya bana...
nimefikirisha ubongo kuliko wewe. akili yako wewe ilipoishia ni pale kuwaza kuwa wapi katika ramani hiyo pana utamu?nani yupo mahali paliponona penye asali....kumbe huo ni uzinzi tu. wengine tunawaza zaidi ya hapo penye utamu.
 
Back
Top Bottom