Duh, kama ulipata nafasi ya kuitembelea mtandaoni basi kuna Watu mmezaliwa na bahati zenu.Hii nyumba yake nyingine kainunua hajajengewa na Serikali anaishi hapo kisiwani (Martha vineyard) Kuna hali ya hewa Safi imezungukwa na bustani Ina vyumba 7 kila chumba na bafu lake, hekari jumla zipo 29.
Mara nyingi walikuwa wakienda majira ya summer kutembelea na mke wake kipindi bado wako white house.Hata bill na Hillary cliton nyumba Yao ipo maeneo Kama hayo tulivu.
Nyumba hii ya Obama ilijengwa 2001 na Obama aliipangisha 2019...2015 thamani yake ilikuwa $22.5m...na hapo thamani yake imepungua maana imejengwa kwa $44.5m ina garage Ina kila kitu mpk pool la kuzunguka na boat.
Mwaka 2021 Mimi ndege John nilipata nafasi ya kuitembelea nyumba hii katika mtandao.
View attachment 1779440View attachment 1779442
Hata wewe uliyepata bahati ya kuitembelea JF, una bahati sana.Duh, kama ilipata nafasi ya kuitembelea mtandaoni basi kuna Watu mmezaliwa na bahati zenu.
😂😂😂😂😂😂😂Mwaka 2021 Mimi ndege John nilipata nafasi ya kuitembelea nyumba hii katika mtandao.
Wengine tunakaa hatuishi aseeWatu wanaishi asee...
a.k.a Wasindikizaji, ila nina mpango wa kuanza kuishi asee...Wengine tunakaa hatuishi asee
Huu ndio utamu wa pesa, naipenda sanaHii nyumba yake nyingine kainunua hajajengewa na Serikali anaishi hapo kisiwani (Martha vineyard) Kuna hali ya hewa Safi imezungukwa na bustani Ina vyumba 7 kila chumba na bafu lake, hekari jumla zipo 29.
Mara nyingi walikuwa wakienda majira ya summer kutembelea na mke wake kipindi bado wako white house.Hata bill na Hillary cliton nyumba Yao ipo maeneo Kama hayo tulivu.
Nyumba hii ya Obama ilijengwa 2001 na Obama aliipangisha 2019...2015 thamani yake ilikuwa $22.5m...na hapo thamani yake imepungua maana imejengwa kwa $44.5m ina garage Ina kila kitu mpk pool la kuzunguka na boat.
Mwaka 2021 Mimi ndege John nilipata nafasi ya kuitembelea nyumba hii katika mtandao.
View attachment 1779440View attachment 1779442
The hectare (/ˈhɛktɛər, -tɑːr/; SI symbol: ha) is a non-SI metric unit of area equal to a square with 100-metre sides (1 hm2), or 10,000 m2, and is primarily used in the measurement of land. There are 100 hectares in one square kilometre. An acre is about 0.405 hectare and one hectare contains about 2.47 acres.Sasa HEKARI ndiyo nini? Kwenye vipimo vya maeneo sijawahi kuona neno HEKARI bali najua neno EKARI.
nadhani kuna tech wanayotumia badala ya fence ama ukutaMbona haina fence? Anyways kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanasiasa wa Kitanzania (either CCM or Mpinzani, wote hawa wapo kwa masilahi yao binafsi kwanza kabla ya taifa) na Mmarekani.
Hakuna namna machozi yetu ya samakiHaya maneno yanachoma sana
Unazani watalilia wapi kwa mfano?Nyumba ya jk watu wanalialia humu
Ova
Ila mwanangu ndege John usikonde Wala nini ipo siku na wewe utamiliki mjengo wako hata kama sio kama huo.