antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,654
- 134,620
Dah..Hii nyumba yake nyingine kainunua hajajengewa na Serikali anaishi hapo kisiwani (Martha vineyard) Kuna hali ya hewa Safi imezungukwa na bustani Ina vyumba 7 kila chumba na bafu lake, hekari jumla zipo 29.
Mara nyingi walikuwa wakienda majira ya summer kutembelea na mke wake kipindi bado wako white house.Hata bill na Hillary cliton nyumba Yao ipo maeneo Kama hayo tulivu.
Nyumba hii ya Obama ilijengwa 2001 na Obama aliipangisha 2019...2015 thamani yake ilikuwa $22.5m...na hapo thamani yake imepungua maana imejengwa kwa $44.5m ina garage Ina kila kitu mpk pool la kuzunguka na boat.
Mwaka 2021 Mimi ndege John nilipata nafasi ya kuitembelea nyumba hii katika mtandao.
View attachment 1779440View attachment 1779442
Kwani peponi kunafance.Mbona haina fence? Anyways kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanasiasa wa Kitanzania (either CCM or Mpinzani, wote hawa wapo kwa masilahi yao binafsi kwanza kabla ya taifa) na Mmarekani.
Hawawezi elewa nduguHawawezi kutuelewa mwanangu daah acha nipige gia tu
Jamaa bila shaka utakuwa mhaya,dunia ya Sasa bado unasumbuka na Mambo madogo madogo
Hakuna neno EKARI Mzee.. ni HEKARI au Hectare.
So lovelyHii nyumba yake nyingine kainunua hajajengewa na Serikali anaishi hapo kisiwani (Martha vineyard) Kuna hali ya hewa Safi imezungukwa na bustani Ina vyumba 7 kila chumba na bafu lake, hekari jumla zipo 29.
Mara nyingi walikuwa wakienda majira ya summer kutembelea na mke wake kipindi bado wako white house.Hata bill na Hillary cliton nyumba Yao ipo maeneo Kama hayo tulivu.
Nyumba hii ya Obama ilijengwa 2001 na Obama aliipangisha 2019...2015 thamani yake ilikuwa $22.5m...na hapo thamani yake imepungua maana imejengwa kwa $44.5m ina garage Ina kila kitu mpk pool la kuzunguka na boat.
Mwaka 2021 Mimi ndege John nilipata nafasi ya kuitembelea nyumba hii katika mtandao.
View attachment 1779440View attachment 1779442
Unamiaka mingapi inayokufanya usikijue hiki kipimo cha hekari.. Umekaririshwa ekari tu.!Sasa HEKARI ndiyo nini? Kwenye vipimo vya maeneo sijawahi kuona neno HEKARI bali najua neno EKARI.
Majitu ya ajabu sana Haya.. Hesabu hapa ndo ilikolala..japo wala hio haihusiani na Hesabu.. ni lugha tu.Hectare kiswahili chake ni Hekta na Acre kiswahili chake ni ekari na hivyo ni vipimo viwili tofauti. Ekari ni kipimo kimoja na Hekta ni kipimo kingine! Hiyo Hekari unaijua wewe na nafikiri watu watakuwa wanakucheka sana kwa kupiga chenga hisabati! Pole sana, rudi darasani vipimo hivyo ni hesabu za shule ya msingi.
Ulipata wasaa wa kuingia vyumbani? Uliweza kupanda na boat??Mwaka 2021 Mimi ndege John nilipata nafasi ya kuitembelea nyumba hii katika mtandao.
Itakuwa na invisible fence kutokana na maendeleo yao ya tech!!Mbona haina fence? Anyways kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanasiasa wa Kitanzania (either CCM or Mpinzani, wote hawa wapo kwa masilahi yao binafsi kwanza kabla ya taifa) na Mmarekani.
Ulinzi na usalama jombaa
Kwann ujumlishe ,hawa upinzani nilini wamewahi shika dola tukaona wanaendeleza kukingia vifua uchuro wawezao waliotanguliza uchuo huoMbona haina fence? Anyways kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanasiasa wa Kitanzania (either CCM or Mpinzani, wote hawa wapo kwa masilahi yao binafsi kwanza kabla ya taifa) na Mmarekani.
Mbona haina fence? Anyways kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanasiasa wa Kitanzania (either CCM or Mpinzani, wote hawa wapo kwa masilahi yao binafsi kwanza kabla ya taifa) na Mmarekani.
Wenzetu mbele hawapendi mambo ya fencingWatu wanaishi asee...
Nyumba ya jk watu wanalialia humuUkisikia aliye nacho ataongezewa na asiyekuwa nacho hata kile kidogo atanyang'anywa ndiyo hii!
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Rais anayeingia kwa kuiba kura unategemea afanyaje pale anapokuwa na dhamana ya rasilimali?Mi nilishangaa niliposikia, hata Jiwe na mikwara yake yote ile kumbe na yeye alikuwa anatupiga kinyemela. Yaani wote hawa hawaaminiki.