ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,814
- 60,685
Huko wasiojulikana hawapoMbona haina fence?.. Anyways kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanasiasa wa Kitanzania( either CCM or Mpinzani, wote hawa wapo kwa masilahi yao binafsi kwanza kabla ya taifa) na Mmarekani.
ukiangalia kwa mapana ni sahihi kuwafanyia havi marais wetu. hii inawasiadia kuwaondolea stress baada ya ku staafu wanakuwa watulivu wanapokuwa madarakani. unapo staafu pressure ya watoto, ndugu ni vyema serikali kuwahakikishia maisha mazuri mpaka kifo chao. bila hivyo wataiba sana ili kujindaa na ku stafu