KILA MTU ANAFUNGU LAKE LA UTAJILI KWA WAKATI WAKE
Maisha ni fursa, Maisha ni safari, ili ufike unakokwenda lazima uchague njia sahihi ya kukufikisha.
Maisha huongozwa kwa matamanio!
Utajili na Umasikini vimetenganishwa na Matamanio!
Ili uwe tajiri ni lazima ujuwe kupangilia Matamanio yako!
Utofauti wa mali kati ya mtu na mtu huchangiwa na kufeli kwa mipangilio yenye matamanio( KIPAUMBELE)
kwa mfano:
Watu watatu marafiki waliokuwa na ndoto za utajili baada ya kumaliza shule yao, waliajiliwa pamoja katika ofisi moja kwa mshahara sawa, baada ya mda kutokana na pesa walizochuma /kopa walikuwa huru kila mmoja kufanya MATAMANIO YAKE!
wa kwanza akanunua gari nzuri kwa ajili ya kuwahi kazini kutokana na changamoto ya usafiri,ndoto yake ni kumiliki Gari zuri ikiwa kama sehemu ya mafanikio yake!
wa pili akanunua kiwanja na akaanza kusimamisha mjengo haraka kwa sababu alisikia ushauri kuwa wenye akili wanajenga kwanza!
Watatu yeye kwasababu mama yake alimsomesha kwa kuuza chakula, Alitamani kuboresha biashara iliyomsomesha akaamua kuboresha biashara na mama ake na kufungua duka la vinywaji vya jumla na rejareja huku baadhi ya pesa kidogo akanunua mifugo huko kijijini!
Wote watatu hawa walitimiza Azimio la matamanio yao katika kuufikia utajili!
NINI KILIFUATA BAADA YA HAPO?
Kutokana na mikopo yao! wa kwanza aliyenunua gari alitembelea mwaka mmoja tu akaamua kupaki maana aliandamwa na deni la mkopo huku pesa aliyokuwa akiipokea ikiishia kulipa bima, service, mafuta,parking,kodi na faini za barabarani HADI ile furaha aliyotarajia ikaanza kuyeyuka!
Wa pili aliyenunua kiwanja alifanikiwa kujenga boma lote na bahati mbaya pesa ilimwishia punde baada ya kuweka mbao za kenchi zikalala zikipigwa jua na mvua bila bati!
wa tatu alifanya biashara akapata faida kiasi cha kununua kiwanja na kujenga taratibu kwa faida iliyotokana na biashara iliyosimamiwa na mama yake!
KILICHOENDELEA BAADA YA HAPO
Kwa bahati mbaya sana Bodi na taasisi yao baada ya kuonekana haina faida katika nchi IKAFUTWA NA RAIS WA NCHI HIYO!
KWA MFANO HUU
Ninachotaka kusema ni hivi!
Maisha ni vile unavyotanguliza KIPAUMBELE,
Mtakubaliana na mimi kwamba;
Ukiuliza wazee maskini wengi waliojilani yako watakwambia kauli kama hizi;
FURSA HUJA MARA MOJA TU IKIJIRUDIA NI ZARI;
Golden Chance Never comes Twice

- Mafanikio huja kama mvua za msimu,
- Mafanikio ya mtu nayanafananisha na tairi lenye tundu linalozunguka ambapo kila binadamu mwenye mkuki anatakiwa kuchoma tundu lile ili afanikiwe, kwahiyo ukibahatika kulenga tundu choma kwelikweli, maana ukichomoa hutachomeka tena kwasababu tundu litakuwa limehamia kwa mwingine!
- Kila mwanadamu kaumbwa na fursa yake, ukikosea tu ndo basi tena;
Mtakubaliana na mimi kwamba;
Ukiuliza wazee maskini wengi waliojilani yako watakwambia kauli kama hizi;
- Mwaka fulani nilipata pesa nyingi sana lakini kwa wakati huo sikufikilia kufanya chochote hadi zikaisha.
- Mimi enzi za usichana wangu ningeolewa na (Jina la Mkubwa) lakini sikuhitaji Mme kwa wakati huo.
- Mwaka fulani tulivuna mazao mengi sana sema hatukuwaza kujipanga kuwekeza!
- Wapo waliowahikupata pesa wakakimbilia kuoa na pesa ikakata.
- wapo waliopata pesa wakajenga nyumba wakitalajia watapata zingine wanunue gari lakini hawajapata hadi leo,
- wapo walionunua magari wakitalajia mirija itaendelea wajenge lakini wameshindwa hadi leo wamepanga.
- wapo waliopata pesa za madini wakazichezea wanachimba had I Leo.
- wapo waliokuwa wakuu wakafukuzwa kazi n.k