Tazama inavyopendeza

Tazama inavyopendeza

Tazama inavyopendeza ndugu kuishi pamoja kwa upendo.....

Huku tukisaidiana ktk shida mbalimbali za maisha....

Hilo ndio pendo kamilifu,pendo alilotuachia Yesu....

Muwe na Jumapili njema....iliyobarikiwa....

View attachment 436676View attachment 436677
Na'am kula kwapamoja na kukaa mkitazamana hujenga udugu na upendo hata kichache huonekena kingi na kutosheleza..
images

Kama kila mwenye anacho dunia hii anajitolea kwa yule ambaye hana basi kusingekuwa na njaa wala mtu masikini.

Tatizo binadamu tumekuwa very selfish. Tunapenda kujilimbukizia mali wakati wengine wanakufa na shida.
 
Kama kila mwenyewe anacho dunia hii anajitolea kwa yule ambaye hana basi kusingekuwa na njaa wa mtu masikini.

Tatizo binadamu tumekuwa very selfish. Tunapenda kujilimbukizia mali wakati wengine wanakufa na shida.
Sasa hhiyo ndo "hulka ya mwanaAdamu" kuitwa Nafsi maana yake ni mbinafsi.. yeye yeye tuu..
 
Back
Top Bottom