master peace
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 1,450
- 444
nenda zoomtanzania
Wanabodi heshima kwenu wakuu;
Ni dhahiri web page ya TAYOA ( Tanzania Youth Alliance ) imekuwa msaada mkubwa sana, hasa kwa sisi ambao uwezo wa kununua magazeti kila siku ili kuangalia matangazo ya kazi uko mashakani. Kwani web page hii hutoa summary za ajira zilizotangazwa kila siku; Kwa upande wangu mambo yamekuwa ndivyo sivyo kwani yapata week sasa hii page haifunguki. Hivyo basi nimekuwa blocked na sijui kinachoendelea kwenye soko la ajira.
Tafadhal dau naombeni msaada wenu.
Just click TAYOA Employment Portal - TAYOA Employment Portal
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Nenda zoomtanzania
Hiki ndicho kilichotokea VIjana Portal
The server is temporarily unable to service your request due to the site owner reaching his/her bandwidth limit. Please try again later.
Jamaani zoomtanzania kazi zetu nyingi zinatoka kwenye magazeti nayo ni daily news na Guardian. Na wakati wote tuna acknowledge source za kazi za magazeti. nafasi zingine za kazi zinatoka recruiting agency wao huwa wanatutumia wenyewe moja kwa moja. Hivyo basi niwatoe hofu kuhusu matapeli kwani matapeli kwenye mitandao wapo wengi dunia nzima ila sisi kama zoomtanzania tunachuja na tuna vigezo vyetu vya kazi zinazotangazwa.kama mtu akituma nafasi za kazi na hazina vigezo vyetu huwa hazitangazwi. Karibuni sana kutumia zoomtanzania kwani ina ubora zaidi.