Niliitwaga kwenye fursa 1 hivi
Mrangi unatapeli tapeli?Niliitwaga kwenye fursa 1 hivi
Ilikuwa kwenye mgahawa mmja hapo
Mlimani city,mmiliki naye alikuwa naye yuko kwenye fursa
Nkawasikilizaaaaaaaa.........kumbe mm nlikuwa nshawajua
Issue sasa ikawa nije ntoe hela
Nkawapanga kwa sasa sina hela maana nmepoteza id zangu,bank nk
Nkawqmbia mln 3 syo issue ntaitoa
Ila sasa nkamwambia mmja wao pale aniazime laki 3 niweze kuishi huku nafanya mpango wa hela zao ntarudisha pamoja na ile Mln 3
Wakanipa laki 3,ahhh nliondoka nayo mazimaaaaaa
Baada ya muda huko nyuma wakiyoweka hela nasikia maumivu tu
Kwao
Ova
Hahahaaa tapeli akawatapeli matapeli...Niliitwaga kwenye fursa 1 hivi

Niliona na Mr Kuku anasema anadaiwa almost 1.3 bils na watu maana ufugaji na kilimo hakikwenda sawa.Wale waliowekeza JATU tupeni mrejesho ?
Hahahah hivi hawa Scatec ndio zile kampuni za kupost sijui matangazo 20 na kupewa hela kidogo? πππNa ukiwaambia ni wabishi hao, jamaa yangu kanitumia link sijui scatec wale wanajiita kampuni toka Sweden sijui Norway.. Kapagawa kajiunga kapewa elfu 6, anasema akiweka pesa atakuwa anapata 15% kila wiki π, anataka aweke milioni awe anavuna 150k kila wiki.
Basi nimemaliza nyimbo zoote kumuelewesha nahisi ananiona kama mchawi wake kwwa sasa, hanicheki tena, mawasiliano yamepungua, nasubiri apigwe nimtafute, kama jamaa yangu wa Qnet alivyokula za uso, hadi huruma ila ukikumbukka walivyllluwa wanakuona wewe mshamba, kizingiti cha wao kutoboa, unacheka huku unasikitika, π
Haki Tanzania watu wanapenda kupigwa hadi kuna muda wanawashawishi matapeli wawapigeHahahah hivi hawa Scatec ndio zile kampuni za kupost sijui matangazo 20 na kupewa hela kidogo? πππ
Hata siwajui kiundani, Niliwagugo nikaona ni kampuni ya umeme huko ulaya. Nikaachia hapo hapo πHahahah hivi hawa Scatec ndio zile kampuni za kupost sijui matangazo 20 na kupewa hela kidogo? πππ