kamjabari
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 1,156
- 1,683
Ila sawa tu maana kila nikifikira wanawake wanatuzidi wingi na kila mtu akioa wakwake basi wengine hawatakuwa na waume , ili wasine wakajisikia vibaya maishani afadhali wazalishwe tu hamuna nna nyingine!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app