Tayari nimempa mimba Binti mmoja

Tayari nimempa mimba Binti mmoja

ile ndoto yangu ya kuwa na watoto watatu kwa wanawake watatu tofauti kabla ya mwaka huu kuisha nafikiri inaenda kutimia,

Tayari nimempa mimba msichana mmoja ina wiki 3 sasa bado wasichana wengine wawili tu ili ile ndoto itimie ,

Nawish ndoto yangu soon itatimia.



CC Zero IQ
Mkuu wewe wape tu hizo mimba maana ndiyo wanavyotaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ile ndoto yangu ya kuwa na watoto watatu kwa wanawake watatu tofauti kabla ya mwaka huu kuisha nafikiri inaenda kutimia,

Tayari nimempa mimba msichana mmoja ina wiki 3 sasa bado wasichana wengine wawili tu ili ile ndoto itimie ,

Nawish ndoto yangu soon itatimia.



CC Zero IQ
Sawa baba kijasho, Mtoto akizaliwa jike jina lake Hawachi
 
ile ndoto yangu ya kuwa na watoto watatu kwa wanawake watatu tofauti kabla ya mwaka huu kuisha nafikiri inaenda kutimia,

Tayari nimempa mimba msichana mmoja ina wiki 3 sasa bado wasichana wengine wawili tu ili ile ndoto itimie ,

Nawish ndoto yangu soon itatimia.



CC Zero IQ

Tabia kama hizo ndizo zinazochangia kuongezeka kwa watoto wa mitaani!
 
Back
Top Bottom