tayari kwakwenda shule

tayari kwakwenda shule

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
581201_419526618068392_731602558_n.jpg
 
Mkuu mbona hizi picha ni zangu? Ni za wanafunzi WA Makambako-Iringa na ni za mwaka 2008-9 umezipataje mkuu"???
 
Katika maisha watu hupitia hatua ngumu sana
Uzuri hao ndiyo viongozi wa kesho maana
familia hutofautiana.
 
Cha kusikitisha zaidi chini ya hiyo ardhi waliyokanyaga kuna ma-dhaabu, ma-Almasi, ma-Gemstones etc....
 
Maskini watoto hawa halafu utaskia maisha bora....
 
So sorry to them!
If I knew where they live I could give atleast 3 pair of new shoes to each
 
Back
Top Bottom