Tayari keshapost

Ukawa kwa NONGWAAAA... chadema wanavaa za mgambo hakuna aneyehoji
Adharusi naona tumekuwa na mitazamo inayokinzana kwenye hili ila mgambo ni majority na kwenye majeshi rasmi hayatambuliki kwenye rank yoyote lakini hapa tunachoji ni mtu mmoja mwenye dhamana ya cheo cha kisiasa kuvaa nguo za majeshi
 
Sasa wewe unaambiwa na Mkuu Karne "Weka kifungu cha sheria kinachomkataza waziri kupost kwenye address yake habari?"

Badala ya kuweka hicho kifungu umeishia kurukaruka tu kama Kangaroo!
Dunia nzima viongozi wengi wanawasiliana na wanachi wao kwa njia hiyo na sio tatizo!

Uwe unatoka japo kidogo tu nje ya JF ili uone dunia inakwendaje huko nje? Usipoteze muda mwingi sana humu,matokeo yake ndio hayo unaongea pumba tu,


Mimi nafikiri wewe ndio huna kazi ndio maana umeichoropoa hiyo habari huko ilipokua na kuja kuifungulia thread humu..!!
 
Umejuaje kabla ya kutupia ile habari hakua amefanya chochote? Acha hizo assumption zako wewe,wewe ulitaka asubiri hao watuhumiwa wakamatwe kwanza ndio atupie habari? Acha wivu wakike wewe!
 
Huwezi ku-rule out na political motives, anything is possible...
Naona pia kuna harufu ya visasi au kupata silaha...kumbuka jambazi wa mabibo alikamata na magazine zisizopungua kumi na risasi karibu 300
 
Naishi mbagala. Karibu na eneo la tukio nimepata info zote. Na kuna wanaonihusu ktk walojeruhiwa. In short I know in and out ya tukio zima. Sasa swali langu lijibu kulikuwa na umuhimu gani mwigulu kuvaa vile
Mkuu hii "in and out ya tukio zima" inaweza ikahitaji maelezo punde wenye dhamana wakiiona.
 
Huyu waziri au mwandishi wa habari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…