sindo hapo??Sasa yale mazoezi wanayoshinda wanafanya barabarani ni ya nn?
Hii nahisi it was a mission to kill maana nasikia hawajachukua hata sh 100 bank.Weird timing...! Bank wamechukua bei gani?
Haruhusiwi kwakuwa cheo chake ni cha kisiasa..labda kama kiasili ni askari tena mwenye service numberKisheria anaruhusiwa kuvaa hizi nguo au anaiga za comedy?
View attachment 386735View attachment 386736View attachment 386737
Sidhani kama kuna upotevu wa fedha maana hadi askari wanakabidhiana lindo bank huwa zishafunga, ila mshangao wangu upo - je how jamaa waliwazidi nguvu askari wetu, maana wakati wa makabidhiano askari huwa wengi kwenye lorry/ bus au gari linalowaleta na kuchukua wengine.Weird timing...! Bank wamechukua bei gani?
Waliletwa na zile Ashok za msaada toka IndiaSidhani kama kuna upotevu wa fedha maana hadi askari wanakabidhiana lindo bank huwa zishafunga, ila mshangao wangu upo - je how jamaa waliwazidi nguvu maana wakati wa makabidhiano askari huwa wengi kwenye lorry/ bus au gari linalowaleta na kuchukua wengine.
Mshana ndugu yangu haya maigizo mwisho lini. Sina CV yake ila nahisi hana mafunzo ya kuwa Askari wala namba hana. He viongozi wataacha lini hizi drama. Kuvaa ivyo ni kwaajili ya nini? Wananchi wanawatazama. Wanaiwaiga wanapelekwa polisi ila wao wanatazamwa. Shame on them. Sheria ni msumeno.... Tujitahidi kupata maelezo mantiki ya kuvaa izo nguo ulikuwa ni IPI?Haruhusiwi kwakuwa cheo chake ni cha kisiasa..labda kama kiasili ni askari tena mwenye service number
Wakati wa Mchonga huyu tayari angepewa likizo ya muda mrefuMshana ndugu yangu haya maigizo mwisho lini. Sina CV yake ila nahisi hana mafunzo ya kuwa Askari wala namba hana. He viongozi wataacha lini hizi drama. Kuvaa ivyo ni kwaajili ya nini? Wananchi wanawatazama. Wanaiwaiga wanapelekwa polisi ila wao wanatazamwa. Shame on them. Sheria ni msumeno.... Tujitahidi kupata maelezo mantiki ya kuvaa izo nguo ulikuwa ni IPI?
Nimekasirishwa mno. Viongozi ndio wavunjaji sheria.Wakati wa Mchonga huyu tayari angepewa likizo ya muda mrefu