Taxpayer Identification Number.

Jitihada

Senior Member
Feb 6, 2011
155
10
Hope mko poa GT, Naomba kujua gharama za kuipata hyo kitu yaani TIN zikoje kwasasa? Na hata kama kuna masharti mengine kama yapo tafadhari. Nawasilisha.
 
TIN ni bure, na unaipata TRA popote. Unachotakiwa kuwa nacho ni copy ya kitambulisho chochote, mfano Passpot/ kitambulisho cha mpiga kura /leseni ya uderevana vingine, japo watakuuliza kuwa unaitaka kwa ajili ya nini?. Na kama hapo ulipoenda ofisi za TRA hakuna foleni haizidi nusu saa unakuwa umepata.
 
Asante kwa maelezo ulonipa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom