Mfumo wa usafiri wa kimtandao wa Taxify sasa wawafikia wakazi wa dodoma.
Kwa yeyote anaehitaji madereva wa hesabu au mkataba usisite kuwasiliana na jobsfacilitators@gmail.com
Madereva wanapatikana, wastaarabu na waaminifu na wenye uzoefu na kazi.
Gari
Ist,raum,ipsum,vitz,passo,carina,ractis,na zingene ndogo ndogo
Kwa muhitaji wa dereva kutoka katika kampuni yetu, bofya email hapo chini
Dodoma ni mji unaojengeka kwa kasi sana. Fursa hii itawafaa sana wakazi wa Dodoma hasa hasa wanafunzi wa chuo, wabunge na viongozi wengine wa serikali.
Mzunguko wa hela Dodoma ni mdogo sana!.. Unaweza anzisha biashara watu kwa 'ushamba' wakajaa, lakini baada ya muda hata ufanyaje customer base yake inarudi chini!.
Sijui Taxify wataenda na strategy ipi!, Nawatakia biashara njema!.
Dodoma ni mji unaojengeka kwa kasi sana. Fursa hii itawafaa sana wakazi wa Dodoma hasa hasa wanafunzi wa chuo, wabunge na viongozi wengine wa serikali.
Hasahasa wanachuo,huwa maranyingi wanahangaika sana kushuka kwenda mjini wakitokea vyuoni pale wanapohitajika kwenda kwenye nyumba za wageni,bodaboda hukosekana muda mwingine,huduma hii ni muhimu,najua uhitaji wa usafiri kule,hasa UDOM.