HihihiiiiiihiiiiiiiiMchoraji anaweza kujikuta pabaya!View attachment 1210730
Ni nani huyo kwenye hiyo picha ?Nafikiri mchoraji kaonesha msisitizo wa jamaa akiwa anaongelea kitu, hapo siyo kicheko bali sura ya kuonesha kuchukizwa na jambo fulani...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12]Mchoraji anaweza kujikuta pabaya!View attachment 1210730
Uchaguzi wa serikali ya mtaa na uchaguzi mkuu ndio hoja zenyewe hizi tunazitegemea upinzani uchukue nchi!Mchoraji anaweza kujikuta pabaya!View attachment 1210730
Unawaza uchaguzi tuu, sio mchana sio usiku. Haya baada ya uchaguzi na kuiba kura mnafanyaje tofauti? Au kila kitu as usual?Uchaguzi wa serikali ya mtaa na uchaguzi mkuu ndio hoja zenyewe hizi tunazitegemea upinzani uchukue nchi!