Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,005
- 11,319
Nashukuru Mungu aliyekuteka amekuachia salama.[emoji23][emoji23][emoji23]hiyo picha sasa
Nashukuru Mungu aliyekuteka amekuachia salama.[emoji23][emoji23][emoji23]hiyo picha sasa
Ebu fanya fanya basi kumwuliza namna ya kukipata hicho kiatu kwenye avatar yake kuna mtu nataka nimshangaze[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekuham shostitoh!
Nimekuham pia.[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekuham shostitoh!
Mtekaji alichukua hadi nywila ya jf[emoji23]Nashukuru Mungu aliyekuteka amekuachia salama.
Hahaha huyo mtekaji anapaswa kuomba toba hadharani haraka sana.Mtekaji alichukua hadi nywila ya jf[emoji23]
U mzima wewe?
Niko poa bibie. Za siku tele?Nimekuham pia.
Mzima wewe?
Mangi acha tamaa, una hela ya kununua kiatu hicho wewe?Ebu fanya fanya basi kumwuliza namna ya kukipata hicho kiatu kwenye avatar yake kuna mtu nataka nimshangaze
Aisee, dharau zako umeamua kuzeeka nazo sioe!Mangi acha tamaa, una hela ya kununua kiatu hicho wewe?
Tuachane na hayo, picha ya kwenye tawi umeiona ilivyo nzuri? Kwa mahitaji ya kuchorwa vizuri kama hivyo niPM😉Aisee, dharau zako umeamua kuzeeka nazo sioe!
Hahaha, unafikiri mimi sijui wewe na fundi Maiko mmeshea babu?Tuachane na hayo, picha ya kwenye tawi umeiona ilivyo nzuri? Kwa mahitaji ya kuchorwa vizuri kama hivyo niPM[emoji6]
Salama kabisa[emoji120][emoji120]Niko poa bibie. Za siku tele?