Tawi la CCM limefunguliwa

Tawi la CCM limefunguliwa

Jamaa kamchora afanane na Ombeni Sefue😂😂😂😂😂


Sefue alikua ana kiranga cha kusoma barua za kutumbuliwa wenzake mpaka alipopewa barua yenye jina lake

Huyo naye alitokomea kusikojulikana
 
Kuna mwaka ilibidi kubadili picha ya JK inayowekwa kwenye maofisi na sababu ilikuwa picha ile ilipigwa akiwa na msongo wa mawazo na uchovu wa kampeni.
 
unajua tofauti kati ya shina na tawi?
ccm hoyeee
maana naona maudhui ni tofauti na kilichowasilishwa
 
Back
Top Bottom