Desert Voice
Senior Member
- Feb 26, 2018
- 159
- 410
Heading Yangu imeweka angalizo ili kuepuka kuharibu biashara za watu.
Lengo la mada hii nataka sote wacheza kamari tuijadili
Hii kampuni ya TatuMzuka.
Wanadai kuwa kila ushindi wa Jackpot unatokana na namba tatu za Bahati, Mimi nimecheza zaidi ya Mara 50 kila wiki nikicheza zaidi ya ticket 90 ina maana ktk ticket zote hizo zijawahi kupatia namba za Bahati hata Mara moja tu?
Hapo ndo nimeleta hili jambo tujadili pamoja,karibuni wakuu.