ustadhi ameeleweka, kwa mantiki kwamba wenye vibamia wanakosa kujiamini, hujiona si chochote mbele ya mabinti, pia huzani hawawezi kumlidhisha mwenza hivyo most of time wako stressed sana. na akiwa ndani ya ndoa huona kama anaweza chapiwa mkewe na wenye mitarimbo. ikumbukwe ngono ni fikraUstadh hapa napata taabu kidogo hivi kuwa kubwa ndio heshima furaha na amani hupatikana kwenye nyumba?
Na si utulivu wa nafsi kuaminiana kupendana na kutulizana maisha yaendelee...
Laweza kuwa kubwa na amani utulivu na furaha isipatikane kwenye nyumba
Salaam/Shalom.
Natumai mu-wazima nyote. Bila ya kupoteza muda ningependa kutoa hii tiba hapa kwa wale wanaosumbuliwa na tatizo la sehemu zao za siri kuwa ndogo/fupi (hasa kwa wanaume).
Tatizo hili limekuwa likiwakosesha wanaume wenye tatizo hili amani na hata raha ya kuwa na mahusiano na wenza wao. Ni tatizo linalosababisha mahusiano mengi kutodumu na kuathiri sana wengi wao psychologically.
Hupelekea mtu kuamua kuwa mwenyewe pasina mahusiano akihofia kutodumu kwa mahusiano hayo au hata kudhalilishwa mbele za watu hasa anapokuwa na mpenzi asiye mstaarabu au pale mapenzi yanapofika kikomo siri za ndani zote hutolewa hadharani. Mtu huona ni bora kuwa peke au kutafuta ONE NIGHT STAND (machangudoa) au kufanya masturbation ili kumaliza hamu yake wakati bila kujua kwa njia moja au nyingine ndio anazidi kujiumiza na kufanya tatizo kuwa sugu kabisa na kusababisha matatizo mengine kama kulegea kwa uume n.k.
Nini cha kufanya ?.
Sitaki kusema kuwa watu wanione PM ili niwape dawa HAPANA ; Dawa ntaitoa hapahapa na maelekezo yake yote jinsi gani ya kufanya, na kwa mwenye swali lolote ataniuliza kama hajaelewa sehemu au kama atahitaji kusaidiwa kutengeneza hiyo dawa ni sawa pia na ni bure kabisa. Narudia tena ni BURE kabisa coz niko hapa kusaidia.
Sasa, kama utakuwa na ndugu, rafiki, jamaa yako wa karibu au hata kama ni mpenzi wako (kwa wanawake) waweza kumsaidia ili aweze kuondokana na tatizo hilo In Shaa Allah.
Mahitaji :-
1 ). Mafuta ya Zaituni (Olive Oil).
2 ). Hartiti kichupa kidogo.
3 ). Maji ya moto kiasi si sana.
Utayarishaji.
- Chukua mafuta ya Zaituni (Olive Oil) kiasi cha 100ml na Hartiti kiasi cha kichupa kimoja kidogo.
- Changanya vyote kwa pamoja vizuri mpaka vichanganyike sawasawa kabisa, ukishamaliza hapo hatua ifuatayo ni...
Matumizi.
- Jinsi ya kutumia yatakiwa kuchukua mchanganyiko wako na kuanza kuichua dhakari/uume wako kiasi cha kuhakikisha imepata msisimko. Fanya hivyo kiasi cha mara tatu hivi.
- Baada ya hapo iache dhakari/uume wako kwa kiasi cha dakika 5 hadi 10.
- Kisha ioshe kwa maji moto uliyokwisha yaandaa kabla. Baada ya kuiosha tu chukua unga kidogo wa Hartiti kisha ingiza kwenye tundu ya dhakari yako vizuri. Ingiza unga kidogo tu kutokana na tundu yenyewe kuwa ni ndogo hivyo ingiza unga kiasi tu wa Hartiti.
Baada ya dakika 3 hadi 5 kuna mabadiliko utayahisi kuwa dawa yaanza kufanya kazi. Fanya zoezi hili kwa muda wa siku 15 hadi 21.
Kwa yeyote mwenye swali aweza kuniuliza aidha hapa ama pm ni ruksa tu vile upendavyo, na pia nawahakikishia kuwa tutakuwa bega kwa bega na wale ambao ni wagonjwa wa tatizo hili kwa maswali, maoni au ushauri usisite kuniuliza chochote utakachojiskia. Karibuni Sana.
AHSANTE.
Maasha-Allah kumbe wee tuko pamoja mkuu sasa hizi dawa unaniambiaje habari zake juu ya masuala ya tiba...?.Ustadh nimeziuza sana hizi dawa kuna kamnibasuad kamne abyadh hardali harmali mvuje shabu zahatari n k na nyingi nafahamu matumizi yake
Mkuu umenipata vizuri mno. Nashkuru kwa kusheresha kiongozi yafaa na wengine waelewe hilo suala.ustadhi ameeleweka, kwa mantiki kwamba wenye vibamia wanakosa kujiamini, hujiona si chochote mbele ya mabinti, pia huzani hawawezi kumlidhisha mwenza hivyo most of time wako stressed sana. na akiwa ndani ya ndoa huona kama anaweza chapiwa mkewe na wenye mitarimbo. ikumbukwe ngono ni fikra
no concentration poor performance hii itasabisha mtu kujichukia na kulaani hili tendo
Mkuu hizi dawa hazina madhara kwa binaadam kwa mfano shabu ni kipande kama kijiwe cheupe wanawake hupenda kukiroeka kwenye kipochi kwa kazi mbili moja ni kukausha maji yote na inapaacha kakavuMaasha-Allah kumbe wee tuko pamoja mkuu sasa hizi dawa unaniambiaje habari zake juu ya masuala ya tiba...?.
Hebu tupe ushuhuda mkuu watu waelewe japo kidogo kiongozi.
Shukran sana.
Shukran mkuu.mkuu..
maelezo yako ni mazuri sana,
inapo ongezeka haiwezi kua na madhara yoyote yale??
kwa mfano kupungua kwa nguvu za awali pindi inapo ongezeka
yaani ndo kitu nahofia hicho tu.
vinginevyo kama haina effects itakua msaada mkubwa kwa wale wenye tatizo..
Na ndio mana tunataka kusaidiana ili size iongezeke thamani ya watu iweze kurudi maradufu.Mwanamke anaekijua kibamia ndiovkinachompa furaha atakijua hicho hicho kwa kukuthamini kwa kumpa furaha ila tatizo anapopitiwa na tango na tundu itafuata ukubwa wa tango wewe mwenye kibamia utakuwa huna maana tena maana chapwaya hakileti furaha tena ndio maana tusikubali au kuachia mwanya wake au wachumba zrtu wakapitiwa na matango wakati wewe ni kibamia utadharaulika
Abiria chunga mzigo wako
Ha h aha...unataka kuua wenzako wwdawa ni upupu tu..unapaka mara tatu kwa siku...Matokeo utayapata na naamini utanipenda
Mkuu, kweli unazifaham kiongozi maelezo yako yapo sahihi kabisa kuhusiana na ufanisi wa dawa husika uliyoielezea hapo juu.Mkuu hizi dawa hazina madhara kwa binaadam kwa mfano shabu ni kipande kama kijiwe cheupe wanawake hupenda kukiroeka kwenye kipochi kwa kazi mbili moja ni kukausha maji yote na inapaacha kakavu
Na pili inarudisha kuwa mpya yaani pochi linakuwa dogo
Kila dawa ina kazi yake
Habati souda inatibu maradhi zaidi ya arobainiHabat Souda ni dawa ya magonjwa mengi sana, mno.
Kweli tuko pamoja.