Hakuna aliyesema kuwa inabaki vilevile laa hasha.Kama ingekua hazirudi ingebaki kama mtoto alivyotoka ingekuwa hatari maana watu badala yabkutafuta haltiti naona wangetafuta ambari
Ila mungu anawapa wepesi kwa kufunguka na jufunga tena mkuu
Mkuu, kuwala kitu gani kiongozi nimekuomba ufafanue hujafafanua wala.Wewe umekusudia kuwala nini hebu tuanzie hapo
Nyie ndio mnao chapiwa una uume mdogo mkeo halidhiki baada ya kutafuta solution unasema mungu ndio kaniumba.... Kumbuka mungu huyo huyo ndio kama mwanadamu huyo huyo akili ya kuitafuta hiyo dawa ya kuongeza hicho kitu. Kumbuka kuna usemi usemao kila tulifanyalo ni kwauwezo wake yeye muumba.Ni kweli kabisa mkuu.
Mungu anapotoa ugonjwa au tatizo ambalo mtu husika anaona kuwa hili ni tatizo pia Mungu akatoa na njia ya kutatua tatizo au ugonjwa husika.
Kama ulivyosema kuwa kwa mengine anaweza akaona ni sawa tu kwa hali aliyonayo anaweza akabaki nayo tu hali hiyo hamna tatizo. Ila kuna wengine wanaona kabisa kuwa hili ni tatizo na yapaswa kutatuliwa kwa njia moja ama nyingine, hawa ndio nnaotaka kuwasaidia mkuu.
Na pia nashkuru kwa rai yako ya kuwakumbusha kuoa ni jambo kwa hakika na nimefurahi kwa hilo, shukran.
AHSANTA.
Mkuu kuna mambo anafanyiwa si unaona vibibi haviishi kwa mzazi mara huyu kaja kumkanda huyu kaja kumchua na maji ya moto mwengine anakuja na lake ilimradi siku ikifika sasa unahitaji uwanja utahisi hakuna mabadiliko sana saizibinarudi na utapata furaha kama mwanzo mkuuKwa hiyo kama ulipita na kibamia then akaja akazaa akapita mtoto wataka kusema ikirudi inarudi katika size ya kibamia mkuu naomba unijibu kama mtu mzima kuna wengi wanasoma hizi post zako mkuu.
Nenda maduka yanatoka dawa za kisuni utapata.Hartiti
Zinasaidia kukuza akili na kuongeza maarifaMbona hizi mada zimeshika kasi sana siku hizi
Ustadh inarudi kama ulivyokuwa na dawa ya kukuza uume na wakinamama wana za kurudisha kubanaHakuna aliyesema kuwa inabaki vilevile laa hasha.
Lakini inarudi kwenye umbo la kibamia baada ya mtoto kupita...?
Labda ni mchanganyiko wa pilipili kichaa na tangawiziHartiti ndio nn hapo sijapata hata moja

Haya ndugu. Karibu.Mkuu kuna mambo anafanyiwa si unaona vibibi haviishi kwa mzazi mara huyu kaja kumkanda huyu kaja kumchua na maji ya moto mwengine anakuja na lake ilimradi siku ikifika sasa unahitaji uwanja utahisi hakuna mabadiliko sana saizibinarudi na utapata furaha kama mwanzo mkuu
Nimevutiwa na hekima pamoja na ukarimu wako. Hakika wewe ni doctor wa kweli na umedhihirisha utu uzima. Jf imevamiwa na watoto ambao sijui walikua panya road hata sielewi. Maana unaweza post kitu serious, lakini kitakachochangiwa humo unaweza juta. Big up brohMimi sio kwamba nataka kuuza hizo dawa mkuu laa hasha.
Waweza kuuliza kwenye duka lolote tu linalouza dawa za kiarabu utapata ndugu yangu.
Shukran.