Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,346
Solve hii hesabu
Tangu Albert Einstein aje na haya mambo yake ya Relativity, naamini vitu vingi tunavyoviona na kuviamini ni illusions tu (ikiwemo hii hesabu yako)...na havinihangaishi tena!






HayaaHesabu ya wapi hiyo yaani deni 98 uongeze na Chanya 1 ije 99 badala ya 97.