Sote tunakumbuka Juzi juzi baada ya tundu Lisu kumaliza mazungumzo na Rais akiwa Ubelgiji Tundu Kama kawaida yake akili mingi mingi alimuwahi Mama na kuweka hadharani mada walizozungumzia. Kwa Mujibu wa Makamu mwenyekiti alidai kuwa Mh Rais alikubali kuwa atayashughulikia yale yote yanayoikwaza Tanzania.
Tunaona jambo moja baada ya jingine yakitekelezwa. Tunashukuru.
Maridhiano Maridhiano Maridhiano
Lissu alisema hatuwezi kufanya maridhiano wakati Mwenyekiti wetu yuko jela.
Hatuwezi kufanya maridhiano wakati wanachama wetu sehemu mbali mbali za nch wamefungwa jela kwa mashtaka ya kubambikiza.
Hatuwezi kufanya maridhiano wakati baadhi ya wanachama na viongozi wako nje ya nchi wakihofia usalama wao.
Hatuwezi kufanya maridhiano ikiwa at least minimum environment haijawekwa sawa.
Hayo maridhiano au utopolo?
Zitto yuko very desparate na maridhiano kwa maslahi yake binafsi.
Tundu Lissu na Mbowe hawajawahi kushindwa linapofika swala la kutetea haki.
Msalimie Dr Wilbroad Slaa. Mwambieni Chadena bado inasonga.