Tattoo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tattoo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nyani Ngabu, Jul 25, 2010.

 1. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #1
  Jul 25, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Hapo zamani niliwahi kutoka na msichana mmoja aitwaye Crystal. Nilikutana naye akiwa pre-med student na lengo lake lilikuwa ni kwenda medical school na baadaye kuja kuwa daktari wa watoto.

  Sijui hawa mademu wasomi wasomi nilikuwa nawapataje tu maana elimu yangu mwenzenu hapa ni ya ngumbaru.

  Basi bana siku moja akanijia na wazo la kujichora tattoo. Mimi nikamhoji anataka kujichora tattoo ya nini na wapi. Akasema anataka kujichora tattoo ya mkuki moyoni halafu juu yake ajichore jina langu: Nyani Ngabu.

  Nilimshangaa na nikabaki nimeduwaa. Binafsi siyahusudishi kabisa matattoo. Sielewi kwa nini watu wanajichora. Kwangu naona kama naharibu tu ngozi yangu na likitu ambalo halifutiki (well, siku hizi kuna teknolojia za kufuta hizo tattoo lakini ni bei mbaya sana). Ukija kulichoka hilo litattoo utafanya nini? Aaah kila mtu na maamuzi yake na sipingi wengine kujichora. Ni kwamba tu mimi hapana. Sitaki huo uchafu.

  Basi siku moja mimi niko ndani naangalia telly naye Crystal huyo akaingia. Akanisalimia na kunikumbatia mimi asali wake. Akaniambia ametoka kuchorwa ile tattoo aliyoniambia anataka kuchora. Nikamwuliza iko wapi hiyo tattoo. Akafungua vifungo vya blauzi yake na akanionyesha katikati kwenye titi lake la kushoto.....mkuki moyoni na jina langu - Nyani Ngabu kwa juu yake.

  Sikutaka kumhoji sana lakini kichwani nikawa najisemea mwenyewe hivi huyu anajua kweli anachokifanya? Kwanza umeenda kuharibu mwili wako na kitu ambacho hakifutiki, pili unaandika jina langu huku huna uhakika kama tutakuwa pamoja milele.....nikatikisa kichwa na nikajinyamazia nisije onekana mpinga maendeleo au mpinga vitu ambavyo wengine wanapenda.

  Baadaye tukaja kuachana na kila mtu akaenda kivyake. Nina uhakika kabisa baada ya mimi alitoka na njemba zingine. Heheheheee....kila nikifikiria kuwa hizo njemba wakati zinatomasa tomasa matiti yake zilikuwa zinaona jina langu....basi kila nikifikiria hivyo kichwa changu kinaongezeka ukubwa na sijui kwa nini.

  Nimekutana tena na Crystal wiki hii na tumeongelea mambo mengi ikiwamo hiyo tattoo. Kasema bado anayo na hajutii kujichora. Sasa sijui nielewe vipi?
   
 2. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2010
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Just try to prove kama bado anayo...visima vya zamani havifukiwi mjomba.
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Mkuu unafanyiwa promo!!!Mimi sizipendi kabiisaaaa ila kunakitu kwa hawa wenzetu nikuwa akijitoa kwako hata ufanyeje yeye anaona hakuna kingine duniani zaidi ya mpenzi wake kama natakukujua aweamekupenda utafanya kilakitu unachotaka juu yake yupo radhi! NAJINA LA NYNI ANALIFANYIA PROMO Ila kua ambazo azifutiki kabisaa ngoja nikuwekee uone!!!
   

  Attached Files:

 4. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Lol... eti Nyani Ngabu kwenye titi!!
  Kama kweli hajutii kuweka tattoo hiyo hata baada ya kuwa mmeachana, basi huyo demu yaonekana ni mzuka! Ni bora kwamba kila mmoja alichukua chake.
  Btw, je ulifanikiwa kuona/kujua kuwa alikuwa hana tattoo nyingine yoyote ile mwilini mwake aliyoweka kabla yako?!
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Jul 25, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Alikua na tramp stamp (ile ya nyuma kiunoni kati ya makalio na mgongo). Akivaa low cut jeans na ki top kifupi inaonekana.
   
 6. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ...ungemchunguza zaidi....! Kama huyo Crystal anatokea Trinidad, yawezekana kabisa alikuwa tayari na tattoo nyingine ya Steve Dii kwenye t*ko lake kushoto!!
   
 7. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280

  mkuu hapo ungemuuliza kama ali do ze nidiful in the first place? isije ikawa anatupa hadithi za MMM hapa lol
   
 8. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #8
  Jul 25, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Mmh,mwenzetu jina lako halisi ni Nyani Ngabu?
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Jul 25, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Ndio
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  Mimi uzoefu wangu kuhusu tatoo ni huu....

  Wakati nipo college tulikuwa na tabia ya kwenda

  jolly club.pale pembeni ya calirfornia dream just to have fun..

  Sasa siku moja nikagundua karibu kila msichana anaejiuza pale ameweka
  tatoo,
  ajabu hata wasichana wageni kabisa wa jiji nao wana tatoo....
  Ikabidi nimuulize mmoja,why kila msichana pale ana tatoo.....

  Alinijibu kuwa wateja wao hasa wazungu wanapenda mno
  wasichana wenye tatoo....

  Toka siku hiyo nikuwa na negative opinion na wasichana wenye tatoo....

  But nimesoma na wasichana wengi decent pia wana tatoo......

  Na siku moja nilikuwa nasoma gq magazine la uk nikakuta article
  inahusu wasichana wanaojiuza na tatoo....
  In a way imenifanya siku zote niwachukuie wasichana wenye tatoto
  kama machangudoa hivi ingawa najua sipo sahihi.....
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Jul 25, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Boss utashangaa...kuna watu na profession zao wakikuvulia nguo utabaki mdomo wazi. Kuna mmoja huyo nilimpataga anafanya kazi Centers For Disease Control and Prevention....yeye ni Epidemiologist na anakamata kisu cha nguvu tu. Ukimuona akiwa kavaa kwenda kazini anaonekana ni mtu ambaye hawezi kujichora chora matattoo (but of course looks can be deceiving).

  Mwilini ana tattoo tano. Moja mgongoni, kwenye titi, kiunoni, kwenye kitovu, na ingine ya kipepeo kwenye paja karibu na mashine. Binafsi sielewi kwa nini watu wanajichora hayo matattoo..
   
 12. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ha hahaa...Steve Dii Orijino in the house!
   
 13. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #13
  Jul 26, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...urembo tu kaka, sawa na wanaojitoga vihereni.Lakini tatoo mbinde kuitoa, hata kwa skin grafting.
   
 14. Jumboplate

  Jumboplate Senior Member

  #14
  Jul 26, 2010
  Joined: Jul 29, 2008
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tattoo is just an art or a way of expressing ones ideas kama ilivyo kwa mavazi, hair cuts,etc mi binafsi napenda tattoo ila sipendi body piercing lakini hiyo hainifanyi niwaone wanaofanya hivyo kuwa wa ajabu coz kuna uwezekano na wao wanawashangaa wanaonyoa vipara. Ila tattoo zenye majina ya watu ambao uhusiano wenu sio wa damu kama ilivyo kwa watoto au wazazi sio good idea at all.
   
 15. Jumboplate

  Jumboplate Senior Member

  #15
  Jul 26, 2010
  Joined: Jul 29, 2008
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi hapa Dar sehemu gani nnayoweza kuchorwa tattoo proffesionally???
   
 16. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #16
  Jul 26, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mhhh najina unamtaja wewe NN wewe...
   
 17. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #17
  Jul 26, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,416
  Likes Received: 1,975
  Trophy Points: 280
  mie nimewahi kukutana na mmoja ni mwalimu wa St .... alikuwa amechora tattoo ya ua kwenye paja pembeni kabisa ya mbunye nikamuuliza amechora wapi akaniambia kwenye kona ya UDSM kutokea Ubungo,

  Nikamuuliza imekuwaje mpk mtu amchore kule bila kugusa mbunye akasema alikuwa amevaa nguo ya kuogelea ila anadai mkono ulikuwa unafika juu ya mbunye na jamaa alikuwa anasimamisha lakini alimaliza bila tatizo la kiufundi
   
 18. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #18
  Jul 26, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160

  Hivi ni wapi wanatoa kozi za kuchora tattoo? Maana nimegundua ni njia rahisi zaidi ya kujitafunia warembo!
   
 19. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #19
  Jul 26, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Upo wewe dada?
   
 20. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #20
  Jul 26, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hey Masaki nipo...
   
Loading...