Naomba ushauri nina mwaka sasa katika ndoa jana katika kugegeda nimeona tatoo ya ex wake wife imejificha sana chini ya ---- kumuuliza amekua mkali inanipa ugumu sana jamani.
Ni wazi alikuwa na maisha ambayo sio mazuri kabla ya kuolewa, lakini kila mtu kuna wakati anafanya mistake lakini haina maana kwamba ataendelea kufanya makosa hayo tena, Usiangalie maisha yake ya nyuma muhimu ni maisha baada ya ndoa.
Ongeeni. mavi ya kale hayanuki ameshaachana na wa zamani ndio mana mko pamoja na ukamuoa wewe. lakini mheshimiwa nyie mlikuwa mnaenda kifo cha mende tuu wakati wa ku 'do'? mwaka mzima jamani.....