Tatizo sio Nchi , Tatizo ni Serikali

Tatizo sio Nchi , Tatizo ni Serikali

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
6,631
Reaction score
18,669
Yeah, nchi kama nchi haina tatizo, tatizo ni hao walioko kwenye serikali.
Ndoto za wengi zimeyeyuka na kutoweka na zinaendelea kuyeyuka kwakuwa walioko huko serikalini ni genge la wabinafsi sana.

Utakubaliana na mimi ,umaskini wa watu at Household level au individual level unachangiwa kwa alimianzaidi ya 90 na so called serikali . Amini kwamba
 
HAPA TANZANIA KUNA WATU HAWAJUI KUSOMA NA KUANDIKA ILA WANAPATA MAISHA MAZURI


UTAMADUNI WA KUDILI NA MATOKEO BADALA YA CHANZO NDO UNATUSUMBUA VIJANA WA KIBONGO AMBAO TUNA ELIMU YA KUKARIRI YA SHULE ZA KATA. NA SIO SERIKALI.
 
Back
Top Bottom