kuna dada mmoja alikuwa na mchumba wake ambaye walipendana sana but becuase ya tamaa zao wote wawili kilitokea hiki kifuatacho:.............................:walitaka kusalitiana lakn hakuna hata mmoja ambaye alikuwa anajua kuwa mwezake anataka kumsaliti.but one day huyu dada alikuwa anasikiliza kipindi cha mahaba redion gafra akasikia kuna kijana mmoja anatafuta mchumba na namba yake ya simu ikatajwa(number ya huyo kijana).yule dada kwakuwa alikuwa analengo la kumsaliti mchumba wake wa kwanza bas aliamua kuinote ile number.basi siku aliamua kuwasiliana na yule kaka ili waingie ktk MAPENZI kwa bahati mbaya au nzuri walikubaliana vzr kuwa wapenz kwa mawasiliano tu bila kuonana.basi walipanga waonane sehemu furani ili wayadumishe mapenz yao vzr maana inaonekana mapenz yao yaliwaka moto kwa mawasiliano tu-................!KICHEKESHO SIKU YA KUONANA!kila mmoja alijiandaa vrz ili akamuone mpenzi wake mpya jins alivyo.DU SIKU YAKUONANA KUMBE WALIKUWA WAPENZ TOKA MDA BILA KUJUA(Walitongozana mara ya pili)

<br / why kaka?Nakupa mji wa Kabul Afghanistan

<br / think twice simu zipo nyingiwaliwasiliana kwa namba zipi_maake navyojua mm namba ya mchumba/mpnz wako ni lazima utakua umeisev,sasa akikupigia au kutuma sms itadisplay id au jina lake,.....acha kuleta hadithi za kumbi na kumbinga mkuu,...bora ungempelekea kanumba hii story ili aicheze filamu

<br / think twice simu zipo nyingi

waliwasiliana kwa namba zipi_maake navyojua mm namba ya mchumba/mpnz wako ni lazima utakua umeisev,sasa akikupigia au kutuma sms itadisplay id au jina lake,.....acha kuleta hadithi za kumbi na kumbinga mkuu,...bora ungempelekea kanumba hii story ili aicheze filamu

<br / asanteKweli ulikosea sana na wewe kwa nini hukukariri, ukakalili? unaona sasa?

<br / siwalikuwa wanadanganyana..ndo mapenz meng ya wabongoYaaan Uliivyoiset utadhani kweli...kwa hiyo unataka kusema wameiba mfuko huu wakaweka mfuko ule...
Story yako ipeleke gazeti la ijumaa upate pesa.kuna dada mmoja alikuwa na mchumba wake ambaye walipendana sana but becuase ya tamaa zao wote wawili kilitokea hiki kifuatacho:.............................:walitaka kusalitiana lakn hakuna hata mmoja ambaye alikuwa anajua kuwa mwezake anataka kumsaliti.but one day huyu dada alikuwa anasikiliza kipindi cha mahaba redion gafra akasikia kuna kijana mmoja anatafuta mchumba na namba yake ya simu ikatajwa(number ya huyo kijana).yule dada kwakuwa alikuwa analengo la kumsaliti mchumba wake wa kwanza bas aliamua kuinote ile number.basi siku aliamua kuwasiliana na yule kaka ili waingie ktk MAPENZI kwa bahati mbaya au nzuri walikubaliana vzr kuwa wapenz kwa mawasiliano tu bila kuonana.basi walipanga waonane sehemu furani ili wayadumishe mapenz yao vzr maana inaonekana mapenz yao yaliwaka moto kwa mawasiliano tu-................!KICHEKESHO SIKU YA KUONANA!kila mmoja alijiandaa vrz ili akamuone mpenzi wake mpya jins alivyo.DU SIKU YAKUONANA KUMBE WALIKUWA WAPENZ TOKA MDA BILA KUJUA(Walitongozana mara ya pili)
Simamaa kaa,cmamaa kaa ruka rukaruka simamaa kaaa.......
kuna dada mmoja alikuwa na mchumba wake ambaye walipendana sana but becuase ya tamaa zao wote wawili kilitokea hiki kifuatacho:.............................:walitaka kusalitiana lakn hakuna hata mmoja ambaye alikuwa anajua kuwa mwezake anataka kumsaliti.but one day huyu dada alikuwa anasikiliza kipindi cha mahaba redion gafra akasikia kuna kijana mmoja anatafuta mchumba na namba yake ya simu ikatajwa(number ya huyo kijana).yule dada kwakuwa alikuwa analengo la kumsaliti mchumba wake wa kwanza bas aliamua kuinote ile number.basi siku aliamua kuwasiliana na yule kaka ili waingie ktk mapenzi kwa bahati mbaya au nzuri walikubaliana vzr kuwa wapenz kwa mawasiliano tu bila kuonana.basi walipanga waonane sehemu furani ili wayadumishe mapenz yao vzr maana inaonekana mapenz yao yaliwaka moto kwa mawasiliano tu-................!kichekesho siku ya kuonana!kila mmoja alijiandaa vrz ili akamuone mpenzi wake mpya jins alivyo.du siku yakuonana kumbe walikuwa wapenz toka mda bila kujua(walitongozana mara ya pili)