Nishasema mara kibao hapa ukumbini kuwa tatizo linalotukabili hapa Bongo ni UFISADI na kukosa viongozi wenye maono, uzalendo na upendo kwa watu wao, lakini kwa makusudi kabisa kuna WAPUMBAVU ambao wanatumiwa na MAFISADI ili kutuondoa kwenye hoja za msingi na mshikakamano wa kuweza kuliondoa kabisa tatizo hili la UFISADI. Angalia inapokuja hoja ya ufisadi katika viongozi wetu basi haraka kuna watu wanaidaka juu juu na kuihusisha na udini.Watu hao wanafahamika hapa jamvini japo kwa ID zao,hawa hawataki kusikia ufisadi wa JK na genge lake na kumficha katika mwamvuli wa udini, huu ni ujuha wa hali ya juu kwani athari za ufisadi zinatukumba watu wa dini zote kwa mfano tatizo la mgao wa umeme na kupanda kwa asilimia karibu ya 20% ya bei ya umeme.Hao mafisadi wanatanua watakavyo na wenyewe wana mshikamano wao kwani wenyewe ni wa dini tofauti na wengine hata dini hawana sasa sisi walalalhoi tunaishia kuparurana kwa misingi ya dini.
lakini mbona ni kimbilio la waislamu?..................hivi huamini kuwa uislamu unaruhusu ushirikina....hebu tembelea misikiti yote utakuna nje ya misikiti hasa siku za kumuabudu allah wao kuna waganga wa kienyeji.....hii sio story ni ukweli.........hii ndiyo dini ya allah
Mtu mwenye dhana mbaya huwa ana maradhi ya wasiwasi na huwaogopa watu... uugua kwa dhana yake mbaya, mwili na roho yake huugua pia. Kisha usababisha aonekane mzee kabla ya wakati wake. Kwa sababu tabia hiyo isiyofaa huathiri vibaya mfumo mkuu wa fahamu na tezi za mwilini, na kusababisha ugonjwa wa utahahira wa kifikra kiasi cha kujenga chuki akilini mwake na kupelekea kujichukia yeye mwenyewe...!lakini mbona ni kimbilio la waislamu?..................hivi huamini kuwa uislamu unaruhusu ushirikina....hebu tembelea misikiti yote utakuna nje ya misikiti hasa siku za kumuabudu allah wao kuna waganga wa kienyeji.....hii sio story ni ukweli.........hii ndiyo dini ya allah
tatizoni uislamu...dini ya chuki na visasi
Kwa nini basi viongozi wa dini ya Kiisilamu hawamsaidii. Wanamwogopa siyo? Ana nini cha kutisha? Msaidieni kwa kumdadavulia kilichopo kwenye kitabu. Ananikera sana mimi.
lakini mbona ni kimbilio la waislamu?..................hivi huamini kuwa uislamu unaruhusu ushirikina....hebu tembelea misikiti yote utakuna nje ya misikiti hasa siku za kumuabudu allah wao kuna waganga wa kienyeji.....hii sio story ni ukweli.........hii ndiyo dini ya allah
Religious leaders should be capable of realizing the manipulation of politicians. Tumeona hata jana, kwenye kuwaombea marehemu waliopigwa risasi hapa Arusha na "polisi" kiongozi wa waislamu alijizuia kutoa maneno yoyote ya kukemea kilichotokea ili asiwaudhi viongozi wa nchi huu ni uoga na sidhani kama uislaumu unaruhusu uoga wa namna hii !!!!
Tanzania haina dini bali wananchi ndio wenye dini,hivyo katiba inawaruhusu wote kuabudu pasipo kuvunja sheria.Uislam uko wazi pia hivyo msiojua tuulizeni tuwafundishe.Uongozi katika Uislam unamaadili yake mfano kiongozi lazima awe mtusafi na akubalike kwa tabia njema na awe mwadilifu katika uongozi wake.Kiongozi awapendelee na kuwahurumia raia wake kwa kuwapa huduma yao inayostahili.Sasa anapopewa Muislam kungoza anatakiwa aongoze kwa kivuli cha Uislam na kwakua kama Tanzania haina dini basi Muislam huyu itabidi kwanza awe mnyenyekevu mbele za Mungu na pia atekekeleze sheria za nchi.Kama mtu anajina na hafuati ule mwelekeo wa Uislam kwa kutenda haki basi yuko mbali na Uislam pamoja na Mungu,kwa maana anaifuata na kuiabudu nafsi yake na matamanio yake binafsi.Hivyo MAFISADI na WEZI wahukumiwe kwa dhambi zao na usiandamwe Uislam kama wengi wafanyavyo hapa JF.Anayefanya dhambi hizo uislam hauko naye na tayali wamejitenga wenyewe kwa kuukanusha Uislam.Uislam siotatizo bali tatizo ni wao viongozi.Ingelikua ni sheria ya Uislam kwa kubainika kashfa kiongozi anang'atuliwa.Hivyo kama JK ana matatizo msimuhukumu kwa DINI yake bali muhukumuni yeye kama yeye na si UISLAM na Waislam.
CITYBOY said:Tanzania haina dini bali wananchi ndio wenye dini,hivyo katiba inawaruhusu wote kuabudu pasipo kuvunja sheria.Uislam uko wazi pia hivyo msiojua tuulizeni tuwafundishe.Uongozi katika Uislam unamaadili yake mfano kiongozi lazima awe mtusafi na akubalike kwa tabia njema na awe mwadilifu katika uongozi wake.Kiongozi awapendelee na kuwahurumia raia wake kwa kuwapa huduma yao inayostahili.Sasa anapopewa Muislam kungoza anatakiwa aongoze kwa kivuli cha Uislam na kwakua kama Tanzania haina dini basi Muislam huyu itabidi kwanza awe mnyenyekevu mbele za Mungu na pia atekekeleze sheria za nchi.Kama mtu anajina na hafuati ule mwelekeo wa Uislam kwa kutenda haki basi yuko mbali na Uislam pamoja na Mungu,kwa maana anaifuata na kuiabudu nafsi yake na matamanio yake binafsi.Hivyo MAFISADI na WEZI wahukumiwe kwa dhambi zao na usiandamwe Uislam kama wengi wafanyavyo hapa JF.Anayefanya dhambi hizo uislam hauko naye na tayali wamejitenga wenyewe kwa kuukanusha Uislam.Uislam siotatizo bali tatizo ni wao viongozi.Ingelikua ni sheria ya Uislam kwa kubainika kashfa kiongozi anang'atuliwa.Hivyo kama JK ana matatizo msimuhukumu kwa DINI yake bali muhukumuni yeye kama yeye na si UISLAM na Waislam.
Nishasema mara kibao hapa ukumbini kuwa tatizo linalotukabili hapa Bongo ni UFISADI na kukosa viongozi wenye maono, uzalendo na upendo kwa watu wao, lakini kwa makusudi kabisa kuna WAPUMBAVU ambao wanatumiwa na MAFISADI ili kutuondoa kwenye hoja za msingi na mshikakamano wa kuweza kuliondoa kabisa tatizo hili la UFISADI. Angalia inapokuja hoja ya ufisadi katika viongozi wetu basi haraka kuna watu wanaidaka juu juu na kuihusisha na udini.Watu hao wanafahamika hapa jamvini japo kwa ID zao,hawa hawataki kusikia ufisadi wa JK na genge lake na kumficha katika mwamvuli wa udini, huu ni ujuha wa hali ya juu kwani athari za ufisadi zinatukumba watu wa dini zote kwa mfano tatizo la mgao wa umeme na kupanda kwa asilimia karibu ya 20% ya bei ya umeme.Hao mafisadi wanatanua watakavyo na wenyewe wana mshikamano wao kwani wenyewe ni wa dini tofauti na wengine hata dini hawana sasa sisi walalalhoi tunaishia kuparurana kwa misingi ya dini.
Religious leaders should be capable of realizing the manipulation of politicians. Tumeona hata jana, kwenye kuwaombea marehemu waliopigwa risasi hapa Arusha na "polisi" kiongozi wa waislamu alijizuia kutoa maneno yoyote ya kukemea kilichotokea ili asiwaudhi viongozi wa nchi huu ni uoga na sidhani kama uislaumu unaruhusu uoga wa namna hii !!!!
Ulitaka wakemee ili huo msikiti ugeuke mwembechai ya Arusha? Siku zote kama mnakumbuka waislamu wamekuwa mstari wa mbele kupigania haki katika nchi hii, lakini mara zote ndio wamegeuzwa kuwa wahanga wa maguvu ya serikali. Ama hamjui ni mara ngapi watu wamepigwa na hata kufikia mbwa kuingizwa misikitini? au hamkumbuki pia ni misikiti mingapi hii leo inaendeshwa kwa misingi ya serikali (mmojawapo ni ule anaouongoza Khalifa Khamis ambaye hata uraia wake una utata mpaka leo!) Neno 'UOGA' katika uislamu halipo bali kuna "TAFAKURI na HEKIMA" lazima kwa sasa hali ilivyo viongozi wa kiislamu watazame upande wa pili pia. hatuhitajii kuona misiba ikiongezeka bali tunahitaji kuizuia. Napenda kuwaambia ndugu zangu waTanzaniaReligious leaders should be capable of realizing the manipulation of politicians. Tumeona hata jana, kwenye kuwaombea marehemu waliopigwa risasi hapa Arusha na "polisi" kiongozi wa waislamu alijizuia kutoa maneno yoyote ya kukemea kilichotokea ili asiwaudhi viongozi wa nchi huu ni uoga na sidhani kama uislaumu unaruhusu uoga wa namna hii !!!!
Tanzania haina dini bali wananchi ndio wenye dini,hivyo katiba inawaruhusu wote kuabudu pasipo kuvunja sheria.Uislam uko wazi pia hivyo msiojua tuulizeni tuwafundishe.Uongozi katika Uislam unamaadili yake mfano kiongozi lazima awe mtusafi na akubalike kwa tabia njema na awe mwadilifu katika uongozi wake.Kiongozi awapendelee na kuwahurumia raia wake kwa kuwapa huduma yao inayostahili.Sasa anapopewa Muislam kungoza anatakiwa aongoze kwa kivuli cha Uislam na kwakua kama Tanzania haina dini basi Muislam huyu itabidi kwanza awe mnyenyekevu mbele za Mungu na pia atekekeleze sheria za nchi.Kama mtu anajina na hafuati ule mwelekeo wa Uislam kwa kutenda haki basi yuko mbali na Uislam pamoja na Mungu,kwa maana anaifuata na kuiabudu nafsi yake na matamanio yake binafsi.Hivyo MAFISADI na WEZI wahukumiwe kwa dhambi zao na usiandamwe Uislam kama wengi wafanyavyo hapa JF.Anayefanya dhambi hizo uislam hauko naye na tayali wamejitenga wenyewe kwa kuukanusha Uislam.Uislam siotatizo bali tatizo ni wao viongozi.Ingelikua ni sheria ya Uislam kwa kubainika kashfa kiongozi anang'atuliwa.Hivyo kama JK ana matatizo msimuhukumu kwa DINI yake bali muhukumuni yeye kama yeye na si UISLAM na Waislam.
inasemekana..... Tusimame katika ukweli mara zote. Udini Tanzania umeingia toka mwaka 1965 na ukathibitishwa rasmi miaka michache iliyofuatia. Wote wanaofahamu na wanaofuatilia siasa za tanzania wanaujua ukweli. Wala haukutokana na Mihadhara wala hizo kashfa unazozisema. Kwani maana ya kashfa ni nini? Ikiwa kupingana ndio kashfa basi jua ya kwamba walipowakisimama wahadhiri wa kikristo kwenye majukwaa (Padre Nkwera na wengineo - hiyo ni kabla ya 1986 unayoisema) na kuutaja UTATU, hiyo ni kashfa kubwa kwa UISLAMU, Je huo tuuite ulikuwa uchochezi wa kashfa za kidini. Mambo ya Mihadhara yanafanyika kote duniani na mwisho wa siku watu wanarudi kwenye masuala ya msingi. Nimepata kutoa mifano hapa na kufasiri maana ya NENO KAFIIR neno hili asili yake ni Kiarabu kwa kiswahili likiwa na MAANA "MPINGAJI" hivyo basi mathalan hata kisiasa, KAFIRI WA CHADEMA NI CCM na kinyume chake. Ukinijia ukaniambia Masiha ni Mungu au Mwana wa Mungu je ikiwa Imani yangu i kinyume na hivyo uone HUJANIKASHIFU!? ikiwa ndio maana ya Kashfa!!! Hivyo basi nami nikikwambia Imani yangu iko kinyume nawe IWEJE hapo iwe NIMEKUKASHIFU? Mihadhara ni hiyari ya mtu kwenda ama kusikiliza. Je tuseme TV ya AGAPE inawakashifu Waislamu? au Redio za Kiislamu zinawatusi WAKRISTO? Na laiti ikiwa hivyo ndivyo basi GAZETI LA AMKENI linaongoza kwa KUUKASHIFU Ukristo ikiwa kinyume na imani ya mmojawapo ni kashfa kwa mwingine!! haya hayakuanza leo ya kashfa za kidini kama ikiwa ndio maana halisi ya kashfa. Walikua wageni wakaziita DINI ZA KISHENZI, IMANI ZA KISHENZI kwa babu zetu, Nadhani huenda hizi zilikuwa sifa njema kwa baadhi ya watu!! HAZIKUWA KASHFA!!! Tunapojadili tusitazame tumeangukia wapi twende mbali zaidi ya hapo.CITYBOY,
..haya matatizo ya udini na kashfa za kidini yaliingia Tanzania mwaka 1986.
..kuna kikundi cha wahubiri wa imani moja kilianza mahubiri ya kuhoji na "kukashifu" maandiko matakatifu ya imani nyingine.
..inasemekana viongozi wa dini mbili kubwa waliitwa ikulu kwa Raisi ili waweze kusuluhishwa.
..baada ya kusikiliza pande zote, inasemekana Raisi, aliridhika na hoja za wale wenye imani ile iliyokuwa "ikikashifu" na "kudhihaki" imani nyingine.
..Raisi akawaelekeza viongozi wa imani iliyokuwa "ikikashifiwa" na "kudhihakiwa" kwamba they just have to deal with the new REALITY.
..tangu wakati huo Raisi huyo akaonekana ni mtu asiyetenda haki mbele ya imani ya wale waliokuwa "wakikashifiwa." waumini wa imani hiyo wakaanza kufukua kila baya alilofanya Raisi huyo.
..waumini wa ile dini iliyokuwa "ikikashifu" nao wakaona sasa wamepata Raisi ambaye ni "mwenzao", na wakamtetea kwa kila jambo hata alipoharibu kazi.
..hali imekuwa mbaya zaidi sasa hivi kwasababu kumeanza kuzuka ama vikundi, au madhehebu madogo madogo, katika imani kuu mbili nchini. kwa msingi huo ni vigumu sana kuudhibiti udini kwasababu hakuna center ya uongozi, au central figure, ambaye ana kauli ya mwisho kuhusu mwelekeo wa waumini wake.
mada ni njema kabisa ulivosema, lakini kuna watu wao wana CHUKI za kidini mioyoni mwao. Na ndio sababu mada yoyote iliyo kinyume na fikra zao hutafuta jinsi ya kuitibua. HAWATAKI WATU WAHUKUMIWE KWA MAKOSA YAO BALI DINI ZAO kana KWAMBA NDIZO ZIMEWATUMA!!! Mimi utanisamehe kwa hili mkuu... namjibu mtu alipoulizia asije akapotea njia tukapata kazi mpya ya kumtafuta na polisi wenyewe ndo hawa!!!Thread ilikuwa inaendelea vizuri, tena ninampongeza aliyeanzisha. Ila naona bado mambo yanataka kurudi kwenye udini tena.
Ni muhimu watu wakamsifu au kumlaumu kiongozi yeyote bila kujali na kuhusisha dini yake. Kwa kweli inakera inapokuwa labda ninamsifia Mwinyi, mtu mwingine anaona ninamsfia kwa sababu ni Mimi ni Muislam. Hali kadhalika, ninapo mtetea Mkapa kwa mfano, hamna haja ya kunishambulia kuwa mimi ni Mkatoliki. Cha muhimu ni points zangu ziwe wazi, kuwa Kiongozi fulani ni mzuri kwa vile alifanya A, B, C, na Kiongozi fulani ni mbaya kwa sababu X,Y,Z.
Suala la vyama pia ni hivyo hivyo. Ni makosa kwa great thinkers kuvihusisha vyama na dini fulani, kwa sababu tunaona wazi, vyama vyote vina watu wa dini zote.
Hongera tena kwa aliyeanzisha hii thread, na wale wanaotaka kuleta uislam na ukristo na uninini wachangie kwenye zile thread zingine.