Huhitaji wote wawe wamesoma nje ya UDSM ku disprove kwamba UDSM ndo tatizo.
Ukiwa na mmoja tu ambaye amepitia zaidi ya UDSM, utakuwa ushaonyesha kwamba tatizo ni zaidi ya UDSM, kwa sababu kama tatizo ni UDSM, mbona huyu kafika mpaka Harvard naye mulemule?
Watanzania tuna tatizo kubwa kuliko UDSM, kubwa kuliko vyama vya siasa.
Tuna tatizo la utamaduni, unaoathiri mtoto anavyolelewa tangu mdogo. UDSM haikuanzisha utamaduni wa "huyu mwenzetu, mpitisheni", UDSM ni matokeo ya mfumo huo.
Ndiyo maana unaweza kukuta mtu kama John Samwel Malecela kaanza kuwa distinguished tangu miaka ya sitini huko, kabembea nyanja zote za ndani na nje ya nchi mpaka kutajwa kama mmoja wa "Eminent Persons" wa Commonwealth.
Lakini akiongea anatoa slothful rhetoric and incoherent inconsistencies.
Mtu Dr. mwalimu wa Chuo Kikuu lakini bila ya kuambiwa "huyu ni profesa wa chuo kikuu" huwezi kujua.
Wakati wenzetu ukikisikia ki daktari kinachoanza kazi tu (MD) hakina distinction yoyote unaona watu wanapanga maneno na wanajua angalau presentation kama sio na execution kabisa.
Sasa basi, hii habari ya kuangalia UDSM kama chanzo cha tatizo ime focus pasipo.
UDSM ni matokeo ya matatizo yetu (by the way, I am not about the higher learning institutions feuding here, they are all the same to me, if anything UDSM is even a little better by virtue of history).
Let us make not the symptom the source, let's look at the source.