Tatizo nyota au nini jamani?

ok, thanks girl, so do you mean 'no money no love in higher learning'?

I don't mean so......but in any r'ship a man being ahead of a lady to provide for her it earn him confidence,you can not get stupid excuses to give.
Though myself I prefer it go both way, a lady not being extremely dependant, as there is ups and downs.
 

Pritty wa joseph 14:47 Today
wakubali hao hao kwani wazuri ushawala pia sasa umekuwa old fashion ndo mana uko hvyo kiufupi umechuja and also huwa inatokea hata kwa ss wanawake
NB: uandishi wako kama nakujua vile ww ni G classmate wangu



Mkuu unathubutuje kuandika post kwa muonekano wa kiume kisha ukajijibu kwa muonekano wa kike? dah watu mna roho ngumu!!
Staili ya aliyekujibu (Pritty wa joseph) sina shaka kabisa ni wewe mwenyewe! ni vigumu sana mtu tofauti akakujibu hivyo tena mtu wa kwanza baada ya wewe kupost!!
 
Last edited by a moderator:

mmmmmmmmmmh
inamana mm ndo niliyepost hiyo thread?
hahahahhha akili yako ndogo
 
Last edited by a moderator:
una nyota ya ccm yaani chama cha mapinduzi ,muda unavyokwenda ndio mvuto unapotea, ahahahah ukweli ni huuu HUNA HELA ,CHUONI HAPENDWI MTU BALI BOOM
 
una nyota ya ccm yaani chama cha mapinduzi ,muda unavyokwenda ndio mvuto unapotea, ahahahah ukweli ni huuu HUNA HELA ,CHUONI HAPENDWI MTU BALI BOOM

umenikumbusha machungu ya bumu langu, niliwahi kutoa laki2 then within two weeks penzi likaisha!
 
okay, understood
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…