Tatizo nyota au? Ni wiki sasa Jealous ya Alikiba haijashika namba 1 trending licha ya views nyingi

Ona hili lishamba. Niite hata shangazi yako. Unadhani kuniita jinsia ya kike ni insult kwangu? Nimeskia proud sana maana hao ndio mama zetu. Hili linaonesha namna gani huna adabu mshamba wewe bwana mdogo.

Halafu kama hueshimu dada zako ndo utamtunzia Kiba heshima? Kalagabaho na ushamba wako
Sitafuti makahaba JF!!
 
Tofautisha kati ya organic na inorganic views!!! Ukinunua inorganic views utaumbuka tu, ndo hapo unakuta mtu anakimbiza lakini kwenye trending hayupo kwa sababu ni inorganic views!!!

And guess what... kuna mjanja mmoja hivi sasa ndo anafanya hiyo shughuli US, na inaelekea Google bado hawajaweza kugundua ujanja wake lakini kwa zamani, hao inorganic views walikuwa hawadumu more than 24 hours kabla hawajafyekwa!!!
Nyongeza...

Tunaona kiba saizi kaanza hivi vitu ambavyi enzi hizo miaka ya 2016 team yake wakiona mondi anafanya hivi wanasema ananunua views 😂😂 Miaka mingi imepita ndio anastuka na kujua kuwa ni njia halali kabisa ya kupromote video.

Mondi alishafanya hizi sana mpaka akawa anafahamika na kuitwa huko nchi ambazo wengi hatuzijui kama Mayotte, Hii yote ilitokana na ku promote mziki wake, Any way saizi mondi anakula mavuno tu.

Screenshot_20210809_193605.jpg
 
Nyongeza...

Tunaona kiba saizi kaanza hivi vitu ambavyi enzi hizo miaka ya 2016 team yake wakiona mondi anafanya hivi wanasema ananunua views 😂😂 Miaka mingi imepita ndio anastuka na kujua kuwa ni njia halali kabisa ya kupromote video.

Mondi alishafanya hizi sana mpaka akawa anafahamika na kuitwa huko nchi ambazo wengi hatuzijui kama Mayotte, Hii yote ilitokana na ku promote mziki wake, Any way saizi mondi anakula mavuno tu.

View attachment 1886465
Mashabiki wa Kiba ni kama hamnazo...

Hili nalo walikuwa wanamsifia, na kumponda Diamond kwamba anategemea collabo huku Kiba mwenyewe akisema hawezi kutoa ngoma back to back kwa sababu ngoma zake ni kali na zilikuwa zina uwezo wa kudumu kwa miaka!!!

Hilo nalo, mashabiki zake wakawa wanashangilia!!!

Leo hii wanaumbuka, wanaanza kujikesha chekesha!!! Yaani Kiba ana-operate beyond expiry date!!

Yaani yale ambayo wenzake walianza kuyafanya way back 2014, huku yeye na mashabiki zake wakiponda, hatimae ndo wanakuja kuona huo umuhimu leo huku mashabiki wake wakisahau walichokuwa wanasema!!
 
Wacha ushamba wewe.

Inorganic traffic hata google wenyewe wanaijua. In fact, google ndo unawalipa wao kuu promote wimbo wako kwenye channel mbali mbali.

Issue ya trending ipo ki nchi. Kama Mondi na Kiba wote wamepata views milioni 5 lakini katika hizo Kiba amepata milioni 2.7 tanzania na the rest Nigeria kwa mfano, then Mondi milioni 3 katika 5 ni za Tanzania, ni obvious Mondi ndo ata trend juu.

Kama hujui kitu ukikaa kimya utafungwa jela wewe jamaa?
Kiufupi ni kwamba Kiba anapata views zake kwa kulipia matangazo ya sponsored ya instagram na fb, haya mambo kina mondi walipoyafanya miaka ya 2016 ndo hawa hawa walikuwa wanasema ananunua views kwa kufanya kama wanachifanya le 😂😂.

Kiufupi videi ya kiba haipati views wengi kutoka Tz, hili ni mojawapo la tangazo lake, watu wa sudan, algeria, zimbabwe, iraq, afghanistan huenda ndio wakiona hili tangazo wanaongeza views za kiba 😂😂 Kuna kozi za haya mambo ila naona kiba kakurupuka, haya matangazo inabidi mtu awe na ujuzi wa "Targeting" ili tangazo lifikie "relevant audience" bila hivi ndo matokeo yake kama mnavyoona, video inajazwa na views za pakistani na iraq huko watu wanaminya tangazo lolote na views zinapanda, hizi views za huko palestina, pakistani, iraq, n.k huwa zinaongeza quantity tu ila hazina quality
Screenshot_20210809_193605.jpg
 
Matusi ni mkongojo unaotumiwa na wenye ulemavu katika ujenzi wa hoja. Nimeendelea kukudharau bwana mdogo
We kahaba umesahau ni wewe ndie uliibuka from nowhere na kuanza matusi? VERY STUPID
 
Wewe ni mlemavu wa akili kwaio sikushangai. Walemavu wa akili mnakuaga hivyo. Sio jambo uncommon. Matusi huwa yamewajaa.

Eti upo kwenye industry ya mziki. Yaani upo kwenye industry halafu hujui hata kwamba kuwalipa google wa promote wimbo wako through YouTube ni kitu LEGAL kabisa?

Nimezidi kukudharau bwana mdogo. Ptuuuuu, mate usoni
We kima nimeshakuambia sitafuti makahaba humu!! So, stop pushing harder
 
Tatizo lilianzia hapa
Aii si twakesha popo, wakati wanatoka
Aii si twakesha popo, wakati wanatoka
Aii si twakesha popo, wakati wanatoka
Aii si twakesha popo, wakati wanatoka
Iyooooowaiona iyo, iyo, iyo, iyo
Wale twaruka priiiii
Afu utasikia bongee la ngomaa
 
Jambo la kufurahisha ni kuwa mkishabishana weeee mnarudi kubishana na magodoro yenu huku hao mnaowabishania wakiandaa cha kuwafanya mbishane mkiamka. Mzunguko wa ubishani mpaka kaburini yaani.
 
Are not misleading, clickbaity or sensational

Halafu hiyo ndo umeitafsiri kama 'sponsored' Aisee wewe hata vimisamiati vidogo vidogo vya kiingereza huvijui. Nimezidi kukudharau. Ptuuu....mate usoni
Nimekuambia sitafuti makahaba JF!!
 
Neno kahaba limekukaa sana. Wewe ni mmoja wao? Ulivyo kichwa maji unaona mimi kukuita mshamba ni tusi wakati ni kweli wewe ni bonge ya mwanakitongoji.

Nimezidi kukudharau bwana mdogo
Stop bushing harder, bitch....

Hivi hujishtukii?!
 
Kalagabaho na ushamba wako bwana mdogo. Jukwaa limekudharau
Then lemme ignore you if you don't mind, but next time, unatakiwa kuanza kujadili mada lakini sio unaibuka from nowhere na kuanza matusi kwa mtu ambae hajakukosea popote!!!
 
Washamba mliojawa wivu na husuda mmekutana kujadili maendeleo ya wanaume. Kweli ME ni endangered specie kwa sasa
topic imebadilika 😂😂 Ali kiba atafute mtu wa kumfanyia matangazo vizuri, huko pakistani na india wapi na wapi na bongo flava, Harmonize ila ndio alizidisha aisee, video yake mpya hii naona hajachokonoa kitu baada ya kuona kastukiwa video iliyopita, Msanii wake kili alitoa ngoma ipo namba 12 huko ila imeingiza viewa milioni ndani ya siku 😂, wapakistani na wahindi wama fujo sana.
 
Hivi hata back in 2014 to 2015 wakati JF kuna ligi kali kati ya Mond na Kiba ulishawahi kuona namsema vibaya Kiba?! Najua Team Kiba kilichokuwa kinawauma ni pale tulipokuwa tunatoa nondo kuhusu Mond, and that's it!!!

Nakumbuka wakati Team Kiba mkishadadia umalaya wa Mond huku mkimuon Kiba mtakatifu, mimi nilikuwa nafahamu wakati huo Kiba alikuwa na watoto 3 kwa mama watatu tofauti, na alikuwa anamtafuna Tunda tena wakati huo Tunda alikuwa kitoto kidogo tu... but I never broke it here!!

Isitoshe, hakuna mpenzi wa muziki Bongo ambae hajawahi kuwa mfuasi wa Kiba kwa sababu ndie hapo b4 alikuwa juu kabla hajaanza ku-flopy kutokana na uzembe wake mwenyewe!!!
Kiba hizi nyara za serikali kala sana hapo bado Giggy kamtafuna bado mbichi na mshepu wake, Elizabeth Michael huyu tena kamla kipindi bado yupo Perfect Vision mara kibao alikuwa anakujaga kumchukua kwao Tabata.

Kipindi mwenyewe anasema kapumzika kufanya mziki, kumbe alikuwa analelewa na Madam Rita nae alizionja hela za Mzee Machache.
 
Hivi hata back in 2014 to 2015 wakati JF kuna ligi kali kati ya Mond na Kiba ulishawahi kuona namsema vibaya Kiba?! Najua Team Kiba kilichokuwa kinawauma ni pale tulipokuwa tunatoa nondo kuhusu Mond, and that's it!!!

Nakumbuka wakati Team Kiba mkishadadia umalaya wa Mond huku mkimuon Kiba mtakatifu, mimi nilikuwa nafahamu wakati huo Kiba alikuwa na watoto 3 kwa mama watatu tofauti, na alikuwa anamtafuna Tunda tena wakati huo Tunda alikuwa kitoto kidogo tu... but I never broke it here!!

Isitoshe, hakuna mpenzi wa muziki Bongo ambae hajawahi kuwa mfuasi wa Kiba kwa sababu ndie hapo b4 alikuwa juu kabla hajaanza ku-flopy kutokana na uzembe wake mwenyewe!!!
Kiba amewahi kuflop lini mzee,mbona una unazi wa ajabu sana??

Mond kuwa mkali zaidi ya kiba haimaanishi kiba ameshuka.
 
topic imebadilika Ali kiba atafute mtu wa kumfanyia matangazo vizuri, huko pakistani na india wapi na wapi na bongo flava, Harmonize ila ndio alizidisha aisee, video yake mpya hii naona hajachokonoa kitu baada ya kuona kastukiwa video iliyopita, Msanii wake kili alitoa ngoma ipo namba 12 huko ila imeingiza viewa milioni ndani ya siku , wapakistani na wahindi wama fujo sana.
Mkuu gape limefika ngapi huko???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom