Tatizo nini mwanaume kuzaliwa hanithi



i can feel u ! ngj niishie hapa !
 
Dear kama yupo nipo tayari kuwa nae nimechoka nishaumia mapenz yakupeana uroda Mimi nimeyachoka sijaona faida yoyote zaid kuumizwa moyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dear kama yupo nipo tayari kuwa nae nimechoka nishaumia mapenz yakupeana uroda Mimi nimeyachoka sijaona faida yoyote zaid kuumizwa moyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kuna wanawake mmejichoka,labda mtuambie wazi kabisa kua mnajichua yaani uwe na mahusiano na Hanisi kisa wanaosimamisha wamekuumiza moyo? Kumbuka hata vitabu vya Mungu vimekataza mahanisi kuoa sasa sijui wewe mwenzangu unapingana vipi na mola wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What, miezi sita au nimeelewa vibaya

great thinker
 
Sijakutana nae ila natafuta mwanaume hanisi wakunioa huyu ataniheshimu nitamuheshimu najua hataniumiza nitafurahia maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] dini gani inaruhusu mahanisi kuoa Doris ? Pole sana ila hakuna furaha ya namna hiyo katika ndoa maana utakua na mwanaume dhaifu atayejishtukia hata pale utapokosea kwa bahati mbaya,jiandae kuna na ndoa ya makelele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…