Safi kabisa nitunuku hata na ka thanks basi kama kweli umefurahi....uliwahi kuwa na hii maneno nini ukiwa chuo?
nishakugongea mpwa..yaani umeongea point kabisa..mitaa ya chuo mzee ndo dizaini hizo kabisa..
Safi kabisa nitunuku hata na ka thanks basi kama kweli umefurahi....uliwahi kuwa na hii maneno nini ukiwa chuo?
Nakuunga Mkono Mpiganaji Jafar. Hilo ndo jibuhana uzoefu kuongea mbele za watu - anatoka jasho la kwapa
Kama analipwa hela nzuri basi hajavaa pamba za kiwango kinachotakiwa halafu she seem to be rough mpaka kikwapa kinacheua.
Je mmem Consult kwanza au mnamdhalilisha mama wa watu humu bila yeye kujua. Hivi fikiria angekuwa mkewo au mama yako ungejisikiaje?
umeme ulizima siku hiyo
Mbona mie sioni tatizo??? jasho ni tatizo? tena kwa dar? au ukifanya kazi unesco jasho linakuogopa? hakika kuna watu wachanga humu ndio maana chadema imeshamiri!!!
Mbona mie sioni tatizo??? jasho ni tatizo? tena kwa dar? au ukifanya kazi unesco jasho linakuogopa? hakika kuna watu wachanga humu ndio maana chadema imeshamiri!!!
Tatizo la kikwapa kwa Tanzania ni endemic!! Haijalishi mtu ana kipato gani na wala haijalishi mtu anafanya kazi/shughuli gani. Watu wengi kwa ujumla hawana utamaduni wa kupaka viondoa harufu ya kwapa (deodorant) hususan zile ambazo hukata ama kupunguza utokaji wa jasho kwapani (anti-perspirant deodorant). Kuna watu huko maofisini na shahada zao wananuka kwapa la kufa mtu. Akikupita tu hiyo harufu anayoacha lazima iharibu olfactory nerves/ glands zako maana ni kali vibaya mno.
Sasa kama kweli huyo mama kwenye hiyo picha ni mshauri wa UNESCO basi ni salama kusadiki ama kudhania kuwa analipwa malipo mazuri tu kwa viwango vya kibongo bongo. Sasa kinachomshinda kwenda kununua "antiperspirant deodorant" ni nini kama sio utamaduni mbovu wa kutojali harufu mbaya ya mwili na kikwapa?
Vilevile, nguo aliyovaa nayo si nzuri kama unataka kukwepa kikwapa kama hujapaka deodorant maana kwa juu imebana. Ingekuwa iko loose kidogo ingekuwa afadhali kidogo.
Joto kwenye gari, joto barabarani joto ndani ya office kungekuwa na AC labda ingesaidia. Pia wengine ndo wamezoea lakini si kila mtu wa TZ yuko hivyo kama NYANI NGABU alivyosema kutaka kutudharirisha wabongo wote
Inaoneka alikuwa msongo na kichwa sana shuleni
Mademu niliosoma nao shule/chuo waliokuwa wanatuburuza
walikuwa kama huyu mama kuanzia mwonekana wa kichwa
uso, ukali, na hiyo self defence mechanism(KWAPA). Huyo ukimtokea
anakuacha unamkumbatia hasa siku aliyotoka maeneo kama ya k'koo
na hutakaa ugeuke hata kumsalimia huku yeye anapiga buku na GPA inakuwa 6+
Good job Ngabu.
Nafikiri ingekuwa vyema kama ungekuwa consultant wa consultant wa UNESCO.....ahahaha ahaha ahaa aha:caked:
hana uzoefu kuongea mbele za watu - anatoka jasho la kwapa