mdudu unga
Senior Member
- Mar 30, 2017
- 110
- 160
Salaam, wakuu suala visasi, ukatili na usaliti vimekuwa ni jambo la kawaida kwa sasa miongoni mwa jamii..
Unakuta mke wa mtu anachepuka na vijana mtaani, vivyo hivyo kwa wanaume pia na mabint za watu.. Hii inatokana na ukweli kwamba mbegu uliyoipanda toka awali, leo ndiyo unakuja kuoma matunda yake..
Mwanamke akikwambia hakupendi achana naye kwani anakuepusha na balaa ambalo hautotaka kuja kuwa chanzo cha hilo balaa..
Bora ukubali ukweli utakaokuuma kwa muda mfupi, kuliko kurubuniwa na kupewa matumaini hewa yatakayokuja kukugharimu maisha yako kwa muda mrefu hapa duniani..