MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
- Thread starter
-
- #381
100% agreed.kwa nini asinambie matatizo yake then mimi na yeye tutafute solution? Hakuna marital afair 'inayoeleweka' kwa macho yangu. Tumesha kubaliana kua it is a deal breaker.
Ikiwa you are having a long distance relation then work together and make the necessary arrangement to make sure that you are there for each other 'as much as you can, given the circumstances'. Ikibidi mmoja amfate mwenzie. Be thankful not only for the results achieved but also the efforts invested in achieving those results. Communication, frequent travels na mengineyo ni muhimu kila mnapokua appart. Nyumba ndogo is a too easy solution, and that is why wato wengi wanakimbilia hiyo. As a couple you have to protect your marriage by all means, and you have to do it together, sio mwanamke apigane kuhakikisha mwanaume doesn't cheat.
Kwa nini asinambie matatizo yake then mimi na yeye tutafute solution? hakuna marital afair 'inayoeleweka' kwa macho yangu. tumesha kubaliana kua it is a deal breaker.
Ikiwa you are having a long distance relation then work together and make the necessary arrangement to make sure that you are there for each other 'as much as you can, given the circumstances'. Ikibidi mmoja amfate mwenzie. Be thankful not only for the results achieved but also the efforts invested in achieving those results. Communication, frequent travels na mengineyo ni muhimu kila mnapokua appart. Nyumba ndogo is a too easy solution, and that is why wato wengi wanakimbilia hiyo. As a couple you have to protect your marriage by all means, and you have to do it together, sio mwanamke apigane kuhakikisha mwanaume doesn't cheat.
Mbu unajua wengi (hata nje ya JF) huwa hawanielewi (pengine zsieleweki aisee) but thinking yangu ni kuwa I will sacrifice everything to love, cherrish and enjoy the love I am blessed to! That is why nitatoa uhuru kwa kadri niwezavyo (knowing kuwa utabehave) I will go an an extra mile for you, I will respect you kama mwenzi na kiongozi mkuu wa familia yangu( ukirudi usiku wa manane I will open the door for you with a bitter smile (especially if you have some few bottles in your head) Even if ukiniomba ugali wa muhogo huo usiku, nitakupikia na kukupatia BUT, while doing that I will continue to evaluate our relationship and once nikijua kinachokufanya ufanye hayo.................then I will be in a fore front asking you what did you lack from me?..................... and even if you tell me the reason for you cheating, you will have to explain why didnt you say so kuwa unakosa a,b and c because mimi si malaika kuwa ntaota mume wangu anapendelea hiki as long as zile basics nlishazifanya................ gosh!!
...haki ya nani vile natamani nisingejua mengi ya maishani, pheeewww,
Kuna kisa nilikisoma humu jf kuna bibi aliolewa si chini ya mara saba...na
kati ya hizo, mara tatu na mume huyo huyo mmoja...
Halafu, hizi Open Relationship nazo mnh...naona tuachie hapa, kama ule
mfano wa kiatu kinachobana, au kuvaa lapa la shoto mguu wa kulia, kila
mmoja ayatafsiri maisha yake vile aonavyo,...Maisha haya!:juggle:
kwa maisha ya siku hizi ambapo kila mtu anatafuta opportunities popote zinakopatikana (shule, short-term kazi, etc) kila siku tutakuwa barabarani.............. leo baba anamfwata mama china, kesho mama anamfwata baba Sweden........ kaazi kweliKwa nini asinambie matatizo yake then mimi na yeye tutafute solution? hakuna marital afair 'inayoeleweka' kwa macho yangu. tumesha kubaliana kua it is a deal breaker.
Ikiwa you are having a long distance relation then work together and make the necessary arrangement to make sure that you are there for each other 'as much as you can, given the circumstances'. Ikibidi mmoja amfate mwenzie. Be thankful not only for the results achieved but also the efforts invested in achieving those results. Communication, frequent travels na mengineyo ni muhimu kila mnapokua appart. Nyumba ndogo is a too easy solution, and that is why wato wengi wanakimbilia hiyo. As a couple you have to protect your marriage by all means, and you have to do it together, sio mwanamke apigane kuhakikisha mwanaume doesn't cheat.
Asee swali zuri sana? Tatizo mida hii ni mida ya kukaa na wake zetu, ningekuwa nyumba ndogo ningeweza kukujibu!
Lakini responsibly maana yake ni kwamba yule aliye na rights zote hadhuriki kwa starehe zako.
Usitake maelezo na sefinition ya 'kudhurika'. Kama hujaelewa shaurilo!
Hahahahaha.....orait, sasa kama umeelewa, enenda kwa amani, na usimdhuru Mbu tena.Asee swali zuri sana? Tatizo mida hii ni mida ya kukaa na wake zetu, ningekuwa nyumba ndogo ningeweza kukujibu!
Lakini responsibly maana yake ni kwamba yule aliye na rights zote hadhuriki kwa starehe zako.
Usitake maelezo na sefinition ya 'kudhurika'. Kama hujaelewa shaurilo!
Kwa maelezo yako nimekuelewa Babu mkubwa, katu sitauliza swali ingawa ninayo mengi.
Ninachotaka kukwambia ni kuwa kwa definition hiyo ndipo ninaposimamia mimi - cheating ni hulka ya binadamu, be it a man or woman, a husband or wife, cheating haiambukizi kama TB as long as unajitambua wewe na unaitambua thamani ya mwenzi wako but do not take into granted kuwa kwa kuwa mwenzangu ni mke akigundua she will have to agree na kusamehe au kwa kuwa ananipenda sana na haweziishi bila mimi hata akigundua hatakiwi kureact bali anatakiwa aelewe man's nature aisee ukikutana na mcharuko wenye akili ambao haujui biology ni nini wala mans nature ni mende wa aina gani aisee itakula kwako. Hizo man's nature sijui men are explorers or sijui they are kina Columbos and Vasco Da Gamas its men's inventions to justify what they want to do.
Unless mtuprovie beyong reasonable doubts kuwa sex drives na exploration intuitions between men and women ni tofauti na kuwa from now tuelewe kuna Human beings (men) an human women!!
Asee swali zuri sana? Tatizo mida hii ni mida ya kukaa na wake zetu, ningekuwa nyumba ndogo ningeweza kukujibu!
Lakini responsibly maana yake ni kwamba yule aliye na rights zote hadhuriki kwa starehe zako.
Usitake maelezo na sefinition ya 'kudhurika'. Kama hujaelewa shaurilo!
Hahahahaha.....orait, sasa kama umeelewa, enenda kwa amani, na usimdhuru Mbu tena.
Neno la leo, cheating haiambukizi!
Ila mjikuu, nyumba ndogo ni hawara, je ukinunua au ukipiha zile za ...it neber happened, yani zilikuwa biya, hamu na zikakutana na right place.....hii ni cheating lakini sio nyumba ndogo! Please note that.
Mkuu huyu binti very trick na haya mambo haya.......sasa anaanza kuchanganya nyumba ndogo na cheating. Hivi havichangamani kabisa!Asee swali zuri sana? Tatizo mida hii ni mida ya kukaa na wake zetu, ningekuwa nyumba ndogo ningeweza kukujibu!
Lakini responsibly maana yake ni kwamba yule aliye na rights zote hadhuriki kwa starehe zako.
Usitake maelezo na sefinition ya 'kudhurika'. Kama hujaelewa shaurilo!
....:A S embarassed: Pheeeewww, asante kamanda, ningejikamatisha sasa hivi...
Haha you ,ake my heart smile darling..........jinsi unavyokinga mabawa yako!!....:A S embarassed: Pheeeewww, asante kamanda, ningejikamatisha sasa hivi...
Haumkosei heshima bana tena inanoga kichizi, hebu siku moja jaribu na hii, mpigie simu waifu wako halaf anza kumtongoza kama haumjui vile uone utamu wake. Yaani muulize mpaka jina lake anaitwa nani. Kuna mizaha mizaha mingi bana inanogesha ndoa lakini mijitu kila wakati inataka kuwa serious kama jet lii.....niwaulize waungwana,
Hivi, nikimfanyia mywife wangu vionjo "vya nyumba ndogo" itakuwa namkosea heshima?
Mfano, namchukua kazini kwake mida ya lunch (12h30) nampeleka gesti... Yes, guest house!
...saa nane (14h00) namrudisha...mwaonaje? :A S-coffee:
Hahahahahah Babu Bigi bana........kwe;i umekula maginia ya chumvi. Mi nataka kujua tu kwa sababu kama mtu ambaye amekuwa na one-night stand na mume wa mtu naye anaingia kwenye group ya nyumba ndogo au la na kama haingii anagroupiwa wapi kwa sababu nielewavyo mie cheating is a cheating as long as umetoka nje ya ndoa na kwa uelewa wangu ukitoka nje mara moja au ukiwa na mwenzi wa muda ambaye si mkeo/mumeo zote ni cheating!Mkuu huyu binti very trick na haya mambo haya.......sasa anaanza kuchanganya nyumba ndogo na cheating. Hivi havichangamani kabisa!
Mjanja mjanja huyu!!
Haumkosei heshima bana tena inanoga kichizi, hebu siku moja jaribu na hii, mpigie simu waifu wako halaf anza kumtongoza kama haumjui vile uone utamu wake. Yaani muulize mpaka jina lake anaitwa nani. Kuna mizaha mizaha mingi bana inanogesha ndoa lakini mijitu kila wakati inataka kuwa serious kama jet lii.
Mkuu huyu binti very trick na haya mambo haya.......sasa anaanza kuchanganya nyumba ndogo na cheating. Hivi havichangamani kabisa!
Mjanja mjanja huyu!!
Mbu!.......................................................Umeona ee? Yaani usinge dive na hiyo goal-line clearance mbu ningemwaga A-Z hapa...
mwj1 alinivisha kitanzi nami nikadhani ni tai ndefu....pheeewww....
Sasa mjukuu, nyumba ndogo=hawara ni technically mke lakini kwa sababu ya kingo za kijamii, hawezi kuhalalisha!Hahahahahah Babu Bigi bana........kwe;i umekula maginia ya chumvi. Mi nataka kujua tu kwa sababu kama mtu ambaye amekuwa na one-night stand na mume wa mtu naye anaingia kwenye group ya nyumba ndogo au la na kama haingii anagroupiwa wapi kwa sababu nielewavyo mie cheating is a cheating as long as umetoka nje ya ndoa na kwa uelewa wangu ukitoka nje mara moja au ukiwa na mwenzi wa muda ambaye si mkeo/mumeo zote ni cheating!Mkuu huyu binti very trick na haya mambo haya.......sasa anaanza kuchanganya nyumba ndogo na cheating. Hivi havichangamani kabisa!
Mjanja mjanja huyu!!