@kongosho
Watu wengi; including me tunaseek refuge kwenye kazi pale sex life inapokuwa boring or routine! Lkn hao keria womeni unaowataja wakipata ka ofisi romansi huwa wanachanganyikiwa, too bad kama umri umeenda kwani wababa wanaofanya nao kazi, au wanaokuwa nao kwenye mawekishop macho yanawatoka kwa wahudumu na vibinti vidogo; so they end up more frustuated! Wengi wao huishia kwa madreva tu!
Naamini boss mwanamke ana uwezo na nafasi kubwa ya kuspare 45mns ya lunch time (l love that kind of adventure) na l am sure akirudi atakuwa more productive kuliko angekaa na kuhangaika na report. Ofcourse haiwezi kuwa daily thing hiyo!
Kitu kingine u should know; wengi wetu tunaishi kisanii zaidi (jinsi jamii inavyotaka tuishi) tofauti na wanaume. Mwanamke anategemewa asipende sana sex, while mwanaume is a plus akipenda sex!
pwenti tupu
KUna kakangu mmoja kila siku kwamba hakuna mwanamke rahisi kulamba kama keria woman... show interest in her work, complement her even if she is rubbish, time anaposafiri uwe mji alipo umekula... hawajui kutongozwa, hawajui kukataa wanachojua ni kazi kwahiyo akigeuza tu macho kaliwa
mwisho wa siku ni frustration tupu
MATATIZO YA MAHUSIANO YANACHANGIWA 50/50 NA WENYE MAHUSIANO TUTAHANGAIKA WEEEEEEEEEE, BUT THAT IS THE FACT!![/QUOTE]
I aggree with you hapo kwenye pink; lakini huyo bro wako nafikiri alimiss small point, kuwa mara nyingi hawa keriawimen wako mature and they know what they want, na hawapretend otherwise. Anataka mtu wa kumkuna, akichelewa kuombwa anaomba mwenyewe.
Nimegundua kuna wanawake ambao hawawalindi wanaume wao juu ya nyumba ndogo.
@dena amsi, hata kama haumfatilii mume, kwanini uruhusu mazingira ya yeye kuwa na smol house? Mume hajarudi wiki hata moyo usistuke kweli wakati sio kawaida yake!
Mi nikiolewa nitahakikisha narekebisha viashiria vyote kabla havijawa sugu, nitacreate mazingira ya yeye kutokuwa na mawazo ya kuwa na nyumba ndogo.
kwanza anachosema hakiwezekani, yaani utakaaje wiki hujamwona mume home na hushtuki? unajua amepatwa na nini, achilia mbali kuwa ameenda nyumba ndogo?Husninyo, it takes two kufanya mapenzi/ndoa kuwa ya uaminifu. Mwanamke peke yako hata ufanyeje, kama mwanaume ameamua kuwa na nyumba ndogo atakuwa tu. Ni vizuri kuplay your part actually ni wajibu, ikiwa ni pamoja na kukumbushana dreams zenu, mmshirikishe Mungu kuanzia mwanzo, wote mjitahidi kuwa responsible kwa maisha ya watoto mliowaleta duniani etc.
Inaonekana wanaokinai kuwa na mwanamke mmoja hapa ni wanaume tu thus why wanafikia mpaka kutafuta nyumba ndogo!
Inamaana wanawake wao hawakinai kuwa na mwanaume mmoja?
Ukweli ni kwamba, efforts zote zinazopelekwa nyumba ndogo (both kwa wanawake manake na sie hatuchezi mbali, na kwa wanaume) zingehamishiwa nyumba kubwa ndoa zote zingekuwa paradise!
Mkuu hiyo imetulia kweli.
Tena kama ndio mko pamoja kitambo mapenzi hufifia kidogo. Ni vizuri ku spicy up mahusiano.
Sometime is good to be nought and kinky .
Kwa wake zetu wa sasa hivi ambao wengine ni Mawaziri, Manaibu waziri, CEOs etc,
Hiyo haiwezekani kamwe...May be kama umemwandalia surprise ya kitu kama Rav4, Benz, diamond etct...!!!!
I can assure you (guided by experience), you will be disappointed to the worst level ever!!
Labda kama umesahau...kwa wanawake wengi waliokwenye ndoa...sex ni kitu cha ziada baada ya kumaliza mambo yake ya muhimu (including urembo urembo, watoto, kazi za ofisini etc.)!!....
Babu DC!!
Imekaa vema... tatizo is she adventerous?? Hataanza mambo ya hapa umelipa shingap si bora tukafanyie home? Na Mbu you do know how hayo maswali kama hayo yakata steam ya the act.....
Swali zuri hilooooo..:eyebrows:
Swali zuri hilooooo..:eyebrows:
Mdororo uko kila sehemu hata baada ya miaka hamsini ya uhuru.Mahusiano na uchumi vyote tuko hoi,lol!
...lol...BJ weka ushuhuda hapa...
BTW, kuna wale wasio na wivu, au sijui hawajali..wenyewe wanaita mahusiano hayo
Open Relationship...yaani anajua mume anajirusha, na mume anajua mke anajipaisha kivyake...
so long as, "heshima" nyumbani....
Hawa wanaweza hata "swingers" parties aka 'wife swaps'...
msikodoe, temea tu chini...yapo haya.
Nimegundua kuna wanawake ambao hawawalindi wanaume wao juu ya nyumba ndogo.
@dena amsi, hata kama haumfatilii mume, kwanini uruhusu mazingira ya yeye kuwa na smol house? Mume hajarudi wiki hata moyo usistuke kweli wakati sio kawaida yake!
Mi nikiolewa nitahakikisha narekebisha viashiria vyote kabla havijawa sugu, nitacreate mazingira ya yeye kutokuwa na mawazo ya kuwa na nyumba ndogo.
@kongosho
Watu wengi; including me tunaseek refuge kwenye kazi pale sex life inapokuwa boring or routine! Lkn hao keria womeni unaowataja wakipata ka ofisi romansi huwa wanachanganyikiwa, too bad kama umri umeenda kwani wababa wanaofanya nao kazi, au wanaokuwa nao kwenye mawekishop macho yanawatoka kwa wahudumu na vibinti vidogo; so they end up more frustuated! Wengi wao huishia kwa madreva tu!
Naamini boss mwanamke ana uwezo na nafasi kubwa ya kuspare 45mns ya lunch time (l love that kind of adventure) na l am sure akirudi atakuwa more productive kuliko angekaa na kuhangaika na report. Ofcourse haiwezi kuwa daily thing hiyo!
Kitu kingine u should know; wengi wetu tunaishi kisanii zaidi (jinsi jamii inavyotaka tuishi) tofauti na wanaume. Mwanamke anategemewa asipende sana sex, while mwanaume is a plus akipenda sex!
pwenti tupu
KUna kakangu mmoja kila siku kwamba hakuna mwanamke rahisi kulamba kama keria woman... show interest in her work, complement her even if she is rubbish, time anaposafiri uwe mji alipo umekula... hawajui kutongozwa, hawajui kukataa wanachojua ni kazi kwahiyo akigeuza tu macho kaliwa
mwisho wa siku ni frustration tupu
MATATIZO YA MAHUSIANO YANACHANGIWA 50/50 NA WENYE MAHUSIANO TUTAHANGAIKA WEEEEEEEEEE, BUT THAT IS THE FACT!!
I aggree with you hapo kwenye pink; lakini huyo bro wako nafikiri alimiss small point, kuwa mara nyingi hawa keriawimen wako mature and they know what they want, na hawapretend otherwise. Anataka mtu wa kumkuna, akichelewa kuombwa anaomba mwenyewe.
hivi mj1 ww umeolewa??
....
I aggree with you hapo kwenye pink; lakini huyo bro wako nafikiri alimiss small point, kuwa mara nyingi hawa keriawimen wako mature and they know what they want, na hawapretend otherwise. Anataka mtu wa kumkuna, akichelewa kuombwa anaomba mwenyewe.
obssed bana...................do I have to answer this kweli?
Inaonekana wanaokinai kuwa na mwanamke mmoja hapa ni wanaume tu thus why wanafikia mpaka kutafuta nyumba ndogo!
Inamaana wanawake wao hawakinai kuwa na mwanaume mmoja?
Hapana binti,
Kila binadamu anapenda kitu kipya kipya, kinachong'aa na kuvutia hata kama cha kuazima,