Tatizo lolote la PC/device

Pia laptop yang nashangaa ghafla tu nimechomeka chaja baada ya kuisha chaj nilipotaka kuitumia.... Inaniandikia charger is plugged in, Not charging........ Na nikichomoa chaja inazima..... Tatzo nn!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pc yangu ukiplay video inascratch ila sauti inaendelea kama kawaida.....alafu natmia firefox inashindwa kuingia mtandaon

Sent using Jamii Forums mobile app

Kutokana na malezo yako ni Drivers za video auna kutokana na ilo tatizo video kuwa inascratch, lakin pia muda mwingne ni quality ya video na uwezo wa gpu yako.

Kuhusu ilo la kushindwa kuingia mtandaoni liweke vizur kidogo
 
Mkuu ni tatizo la muda embu fanya kunikumbusha ilikuwaga ni nini shida?
Natumia windows 10....imeexpire yaan inanihitaji kuActivate windows... Uliweka link niifuate lakin nilipofanya hvyo bad kudownload na nilipoUnzipp file husika Pc iliandka operation fail...... Ukaniuliaza kama nilikuwa nimedisable anti-virus

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni
Anyway windows 10 nyingi ukiwa unaweka kweny hizi latest pc uwa zinakuwa na default drivers ya kila hardware ulokuwa nayo Kwenye pc yako, so japo sifaham sana matumizi yako ila kama unaweza uwe una-update driver ya network na kama ukiwa ni Drivers zote bas update zote, na next time kusolve tatizo kama ilo sio lazima upige windows yote chini kuna njia nyepes kama kujua tatizo, kama vile driver imecorrupt so unaiweza ukafanya repair.
Nimejarbu update driver ina connect lakini sauti haitiki kwenye speker
 
Natumia windows 10....imeexpire yaan inanihitaji kuActivate windows... Uliweka link niifuate lakin nilipofanya hvyo bad kudownload na nilipoUnzipp file husika Pc iliandka operation fail...... Ukaniuliaza kama nilikuwa nimedisable anti-virus

Sent using Jamii Forums mobile app

Anyway ukiona ukiwa una-unzip ikiwa inagoma ni basi run directly usi-unzip
 
Pia laptop yang nashangaa ghafla tu nimechomeka chaja baada ya kuisha chaj nilipotaka kuitumia.... Inaniandikia charger is plugged in, Not charging........ Na nikichomoa chaja inazima..... Tatzo nn!?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ilo tatizo linawezekana ikawa ni battery au charger, inabid uchek kila kimoja kimoja
 
Mimi ninatumia techno n smart phone Ila kunamtu ameniunganisha cjui na app gan maana nimekua kama mic na yy n speaker kila ninachowasiliana anakipata cjui nifanyaje kitendo icho kinaniboa
 
Mimi ninatumia techno n smart phone Ila kunamtu ameniunganisha cjui na app gan maana nimekua kama mic na yy n speaker kila ninachowasiliana anakipata cjui nifanyaje kitendo icho kinaniboa

Sometimes inakuwaga ni apps ambayo ameweka bila ww kujua au ulimwachia simu yako akaunganisha, kuna apps hizo za android mtu anakuwa anapata report ya vyote ulivyovifanya siku nzima, option ni moja tu fanya hard reset au flash simu.
 
External disk yangu ilidondoka na iliendela kusoma ila baada ya muda ikawa haisomi kwenye device yoyote, je kuna uwezekano wa kuirekebisha ikaendelea kufanya kazi?
 
Mkuu pc yangu ina shida nikiwasha Kwenye batan inaonyesha kuwa imewaka ila kwenye display haiwak tatzo nn?
ilianza hv pc yangu inaweza kaa had Week nzma nikiwa sjaitumia kabisaa na hii tabia ilianza baada ya kuwa sjaiwasha muda nakja kuiwasha ikaaleta hii tabia badaye nikajrbu kuweka cd ya window ikakubal nikaitumia ila nikiizma tu nikja kuwasha ina lud vilvile ikbd nibadl Window Ktoka window 7 nikawka window 10 ikatumika kama Nusu saa tu nikaizma baadye nakja kuiwasha ikalud vilevile msaada tafadhal Pc ipo ndan kama week 3 sasa
 
Kwaiyo hapo unamaanisha windows yako inakuwa fail kila Mara ukizima pc??
 
Back
Top Bottom