FactAcha uwongo mkuu kwahyo utafiti wako umeufanya kwa wema tu? ,wanawake wengi tu wakali wameolewa ishu nzima ni kujitambua
Msema kweli mpenzi wa mungu [emoji122]wanaume tunatembea na wanawake wengi ili tumpate "the best"
Hivi unajua unaeza ukatongozwa sana na ukakosa kuolewa? Hili ndio tatizo linalopata wasichana wengi warembo. Watu wataka kutembea na wewe tu ili wapate kiki lakini hakuna atayekwambia ywataka ndoa.
Kwa hiyo msimcheke Da Wema sepetu manake labda huyu jamaa ovyo ndio peke yake aliyetaka ndoa naye. Wengine walisoma katiba wakasepa