Mtu anasema bikra sioi kwanza utampata wapi mwenye bikra?
Mimi ni bikra
Mtu anasema bikra sioi kwanza utampata wapi mwenye bikra?
oa bikira, hata ikiwa kibamia atajua hata sisi wenzio ndio tulivyo....
Ninae dadangu ana umri wa miaka 43 lakini bikira....unamtaka?
te teh teh....Mkuu ana 43 na bado bikira? Atakua ni Maria huyo
te teh teh....
Nilikuwa bikra miezi michache ilopita, bahati nzuri/mbaya akatokea mrembo mmoja, sikuweza kujizuia...I'm no longer a virgin..lol
Mimi ni bikra
[FONT=book
antiqua]Nimeuliza swali hili sababu ya jambo ambalo
ameniambia mchumba wangu kuhusu rafiki yake aliyepotoze mahusiano yake
sababu ni bikira. Kijana alimuomba rafiki yake wa sex. Binti alimuambia
kwamba yawapasa wasubiri mpaka usiku wa harusi
[/FONT][FONT=Times New
Roman][FONT=book
antiqua]yao[/FONT][/FONT][FONT=book
antiqua]. Jambo lakushangaza kijana akamwambia awezi
kumuoa bikira.
Je ni kosa kwa wasichana kujichunga wao wenyewe mpaka siku ya
ndoa?[/FONT]
Lipi la Maana? Kumuoa msichana ambaye amejichunga
na kutoshiriki tendo la ndoa au kumuoa msichana ambaye amefanya mapenzi
na wanaume tofauti?
[FONT=Times New
Roman]Angalizo, Sijasema ni lazima kuoa bikira, ila ni
mwanamke sahihi kwa wewe. Ametokea ni bikira, utamkataa kwa sababu
hiyo?[/FONT]
kama na wewe bikra basi pole dear !!
Sijaipenda kabisa tabia ya huyo mchumba wako!ni MMBEA!sasa alikuwa anakusimulia wewe inahusu nn?au ndio nyie kwenye mahusiano bdala muongee mambo yenu mnadiscus watu?Leo unaona raha ngoja umuoe utajuta kila kitakachofanyika ndani kwenu mashosti zake wote watajua!wadada vp mbona tunaanikane tena?