Tatizo liko wapi kumuoa msichana aliye Bikra?

Tatizo liko wapi kumuoa msichana aliye Bikra?

bikra zinasumbua, tumeshazoea mabwawa ni rahisi kuvua samaki, radio sina, mapambio sijui, chumba changu hakina silingbody, unataka nijaze watu wanipeleke polisi kwa kubaka? mimi ntaoa mwanamke aliyeenda KM angalau kidogo si ambaye hajaenda kabisa.

KM ndo nin mkuu??
 
Toa sababu tano za msingi nione kama kweli maneno yako hujayatamka kiwepesi!!
Sista, sijatamka kiwepesi..
1. The "shake well before use" rule ina apply hapa. Point yangu ni kuwa, waweza kutana na bikra aliye na low sex drive, yeye anakutengea once per month, na yuko fine. Mimi sitoweza kabisa kuvumilia kuonjeshwa mara moja kwa mwezi, lazma tujuane "vizuri sana" kabla.

2. Nataka mwanamke aliyepitia mahusiano tofauti, anajua changamoto za wanaume na jinsi ya kuishi na mwanaume, si kingono tu bali hata maisha ya kawaida. Mabikra wengi hawajui wanaume kwa undani, men can be harsh, rude n unbearable at times...

3. Nakuwa na wasiwasi akishaonja tam tam anaweza kushawishika kuonja size zingine, hii hutokana na wenzake huko saloni na zile stori zenu zile...

4. Sipendi usumbufu wa kuvunjiwa vitu chumbani, kutumia nguvu za ziada kumbana hadi babu apite, while zipo barabara wenzangu walisatia lami mi napita na ki Audi 8 changu kwa kuteleza.
 
oa bikira, hata ikiwa kibamia atajua hata sisi wenzio ndio tulivyo....
 
kilomita wangu, si unajua papuchi na zenyewe zinasoma kilomita, ukiziona we utazijua tu, kuna zingine km 34670.

Hahahah.....uwiii asante kwa kunijuza....kwaio unataka iwe inasoma less than KM ngap
 
Uuuh...kumbe bado naweza kuingia kwenye kinyang'anyiro chako...impressiv

teh teh teh teh ehh. iwuuuu, ngoja nije pm, halafu uje utoe ushuhuda. kumbe yako haijaenda km nyingi sana safi sana, ila angalia leo usije ongeza basi zitavuka.
 
Mwanaume bikra naye anapatikana siku hizi kweli??Kama jibu ni sio,siwezi kujitunza eti kulinda heshima,waweza jidai wajitunza na ukaolewa then maumivu ya moyo yakawa pale pale,So please mimi siwezi kwa kweli,bora nijizoelee mapemaa
 
Wapi wanapatikana hao!!!! mwaka wa kumi sasa still nipo naseach.


Nowadays, the Only way a gal can be 22 or so and a Virgin is if she fell into a Coma when she was 10.. and she Just woke up now.!!
 
no watu wachache sana huishia kuoa wasichana waliowatoa bikra. Mara nyingi wanakuwaga stuborn.
 
Nimeuliza swali hili sababu ya jambo ambalo ameniambia mchumba wangu kuhusu rafiki yake aliyepotoze mahusiano yake sababu ni bikira. Kijana alimuomba rafiki yake wa sex. Binti alimuambia kwamba yawapasa wasubiri mpaka usiku wa harusi yao. Jambo lakushangaza kijana akamwambia awezi kumuoa bikira.

Je ni kosa kwa wasichana kujichunga wao wenyewe mpaka siku ya ndoa?


Lipi la Maana? Kumuoa msichana ambaye amejichunga na kutoshiriki tendo la ndoa au kumuoa msichana ambaye amefanya mapenzi na wanaume tofauti?

Angalizo, Sijasema ni lazima kuoa bikira, ila ni mwanamke sahihi kwa wewe. Ametokea ni bikira, utamkataa kwa sababu hiyo?

kama hajaolewa au hajaoa,hakuna tendo la ndoa ni tendo la KUZINI
 
Back
Top Bottom