[FONT=book
antiqua]@azalea wewe ulishawahi kupewa malavi davi wewe? Lazima
utaongea yaliyo jificha moyoni, chezeya!!!
[/FONT]
Upuuzi mtupu!ndio maana wanawake tuishi kwa akili na wanaume!coz huwezi kuta mwanamme timamu anakusimulia mambo ya rafiki zake,Wanawake sasa.!kila kitu hadharani ngoja siku bibie akosee kidogo atachambwa yeye na shosti zake wote!si anajua weaknes zao.