Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,960
Kilometer bana... Yaani anagalau awe ameshabadili timing belt mara mojaKM ndo nin mkuu??
Kilometer bana... Yaani anagalau awe ameshabadili timing belt mara mojaKM ndo nin mkuu??
hakuna cha bikira lazima ujue matatizo ya unaemuoa hayo mambo yamepitwa na wakati hata mm mtu akiniambia bikra kwanza tumalizane nione bikra na nijue madhaifu yake nikija kumuoa nakua nimeingia kiroho safi ....sasa we kaoe bikra then nenda nae ukute ana matatizo chungu tele ndo utaiona ndoa chungu na ndo mana cku hizi watu wanapiga mimba kabisa ndo waoe mambo ya kuoana then kushinda makanisani au msikitini au kwa sangoma kutafuta mtoto yanapoteza mda...mawazo yangu toa bikra mwenyewe kaa nae msome tabia yake na madhaifu yake huku na yeye akikusoma then malizaneni hayo mambo ya kuoa bikra mmh labda na wewe uwe bikra wote mkutane hamjui kitu
Unasearch vip mkuu?Wapi wanapatikana hao!!!! mwaka wa kumi sasa still nipo naseach.
Mwanaume bikra naye anapatikana siku hizi kweli??Kama jibu ni sio,siwezi kujitunza eti kulinda heshima,waweza jidai wajitunza na ukaolewa then maumivu ya moyo yakawa pale pale,So please mimi siwezi kwa kweli,bora nijizoelee mapemaa
Je alifuzu au la?Shida yao wanakuwa hawana uzoefu wowote kunako sita kwa sita.Rafiki yangu mmoja aliwahi kuoa bikra alipata shida kubwa sana alianza kufundisha kila kitu.
Wanaume wengine HAWAJIELEWI...mwambie ur friend akitulize MAYBE anaweza opoa mume wa maana
ukimpata mwanamke bikra ni vizuri ukatangaza ndoa chap chap. hakuna tatizo.
Mwanaume bikra naye anapatikana siku hizi kweli??Kama jibu ni sio,siwezi kujitunza eti kulinda heshima,waweza jidai wajitunza na ukaolewa then maumivu ya moyo yakawa pale pale,So please mimi siwezi kwa kweli,bora nijizoelee mapemaa
Wapi wanapatikana hao!!!! mwaka wa kumi sasa still nipo naseach.
Kilometer bana... Yaani anagalau awe ameshabadili timing belt mara moja
Tuwaachie wenye fani zao, walimu wa shule za msingi watutengenezee njia.
sasa kama umempata huyo bikra kwanini usioe, mi naona kama mwanamke kavishinda vishawishi vya kudinyana basi huyo anafaa sana tena ni mvumilivu ukizingatia dunia hii imejaa ulaghai.Kwa iyo mtu anaoa hiyo bikira au? Ndoa ni zaidi ya bikira
oa bikira, hata ikiwa kibamia atajua hata sisi wenzio ndio tulivyo....
Ninae dadangu ana umri wa miaka 43 lakini bikira....unamtaka?Mungu anijalie nimuoe bikra